PICHA:Mh:Mwigulu Nchemba atua Monduli kwenye kampeni za UCHAGUZI,Wamaasai waahidi ushindi wakishindo


M

Mtela Mwampamba

Verified Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
537
Likes
11
Points
35
Age
36
M

Mtela Mwampamba

Verified Member
Joined Dec 19, 2012
537 11 35
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara,Mh.Mwigulu Nchemba akiwasili kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Makuyuni wilayani Monduli hii leo tar.12/06/2013.Hapa akisalimiana na wanachama wa CCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara kusikiliza sera za chama chao cha mapinduzi.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara,Mh.Mwigulu Nchemba akisalimiana na moja ya kikundi cha akina mama kata ya Makuyuni wilayani Monduli kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hii ni sehemu tu ya mamia ya wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano huo wa hadhara.Picha imechukuliwa wakati msafara unapokelewa wa Naibu katibu mkuu Mh.Mwigulu Nchemba
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh,Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania bara akisaini kitabu mara baada ya kuwasili kata ya Makuyuni kwenye mkutano wa hadhara hii leo wa kumnadi mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM Ndugu Goodluck Lerunya
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh;Mwigulu Nchemba(Kushoto) anayefuatia ni mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Makuyuni Ndugu Goodluck Lerunya,Kulia ni Mh:Marry Chitanda Mbunge viti maalumu Tanga wa ambaye pia ni Katibu CCM Mkoa wa Arusha.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kada wa CCM Ndugu Mtela Mwampamba akihutubia mamia ya wananchi kata ya Makuyuni wilayani Monduli kwenye kampeni za Uchaguzi wa Udiwani.Kada huyu wa CCM amewaomba wananchi wa MAKUYUNI ambao asiliyao kubwa ni kabila la Wamaasai kumchagua mgombea wa CCM kwenye uchaguzi utakao fanyika mapema tar.16/06/2013 siku ya jumapili.Amewasihi wananchi hao kuachana kabisa na siasa za chama cha upinzani kwa sababu vitawaletea vurugu,pia havina dira ya maendeelo.Nanukuu"Vyama vya siasa hasa hicho CHADEMA nashukuru hamkujitokeza kwenye mkutano wao wajana wakaishia kuondoka patupu,Nimekuwa chadema zaidi ya miaka 5 hakuna siku tuliyopanga kuleta maendeleo ndani ya nchi yetu,hivyo vyama ni maarufu kwa kulalamika tu."Hivyo chagueni diwani wa CCM kwamaslahi ya wananchi na jamii yenu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kada wa CCM Bi.Juliana Shonza amewaomba wananchi wa MAKUYUNI kumpigia kura kwa wingi mgombea wa CCM kwasbabu ndicho chama chenye kuleta maendeleo kwa wananchi.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibuMkuu wa CCM Tanzania bara amewaomba wananchi na wanachama wa CCM kata ya makuyuni kujitokeza kupiga kura siku ya uchaguzi bila kuogopa vitisho vyovyote.Mh:Mwigulu Nchemba ameenda mbali zaidi kwa kusema uchaguzi huu wa udiwani si kubadirisha serikali bali ni kuendeleza maendeleo ya serikali iliyopo madarakani.Amesema kumpa kura mgombea wa CCM ndio njia pekee ya kuwaweka wananchi karibu na serikali yao.Pia ilani na sera za CCM zinatekelezeka.Amedai wapinzani hawana sera za kuwaletea maendeleo wananchi,wataishi kulalamika tu.Pia amesema anaamini wmaasai ni kabila lenye ulinzi wa kutosha hivyo watalinda kura siku ya uchaguzi na kuhakikisha mgombea wa CCM anashinda.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]"Amani idumishwe siku ya uchaguzi,Swala la ardhi na sehehemu ya malisho ni mambo yanayojadilika,Hivyo nitakuwa nanyi beaga kwa bega,diwani wenu huyu najua atashinda nitakuwa karibu naye katika kutatua matatizo yenu kupitia mbunge wa jimbo hili"
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mgombea wa udiwani kata ya Makuyuni kwa tiketi ya CCM Ndugu Goodluck Lerunya
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]CCM chama cha maendeleo,chama cha maslahi jamii.Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara akimnadi mgombea wa udiwani kata ya makuyuni kwa tiketi ya CCM Ndugu Goodluck Lerunya.Mh:Mwigulu Nchemba amesema mgombea anakila sababu ya kushinda kwa sababu anauwezo wa kutetea maslahi ya wana Makuyuni
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mkutano Umemalizika,wananchi wanaagana na Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania Bara
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]CCM ni chama cha nchi nzima na kwa watanzania wote
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu Mkuu Mh:mwigulu Nchemba akiondoka viwanja vya kata ya Makuyuni wilayani Monduli jioni hii,hapa akiwapungia mkono wanachama wa CCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo wa kampeni za uchaguzi wa udiwani kata ya Makuyuni
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,462
Likes
1,379
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,462 1,379 280
duuuuuuuh!
bonge la nyomi!
sijapata kuona nyomi kama hilo, aiseee.
 
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Messages
2,732
Likes
12
Points
0
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2011
2,732 12 0
CCM oyeeeee!
 
W

wikolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
801
Likes
9
Points
35
W

wikolo

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
801 9 35
Hivi wewe Mtela ni katibu mwenezi wa mwigulu au una nafasi gani hasa huko uliko sasa? Nitashukuru kama utanifahamisha mkuu ukisharudi tena hapa kwenye uzi wako.
 
Kashaijabutege

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
2,699
Likes
37
Points
135
Kashaijabutege

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2010
2,699 37 135
Njaa mbaya. Mtela Mwampamba!!!!
 
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
2,821
Likes
12
Points
135
PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
2,821 12 135
Mtela Mwampamba ebu tupe taarifa madelu ameenda na kile kinyago chake kutoka igunga?????
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,615
Likes
6,130
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,615 6,130 280
Hongera kwa kuwa personal secretary wa katibu mwenezi!
 
h.imani

h.imani

Senior Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
191
Likes
58
Points
45
h.imani

h.imani

Senior Member
Joined Oct 2, 2011
191 58 45
Hao bado mbumbumbu na hawajui chochote kile, huko mtashinda tu, mmewashika masikio.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Hivi wewe Mtela ni katibu mwenezi wa mwigulu au una nafasi gani hasa huko uliko sasa? Nitashukuru kama utanifahamisha mkuu ukisharudi tena hapa kwenye uzi wako.
Naomba kufahamishwa. Ni kwanini safari karibu zote za Mwigulu ni lazima Juliana Shonza na Mwampamba wawepo? Ina maana hakuna vijana wengine CCM zaidi ya hao waliofukuzwa Chadema? Yaani ina maana vijana wengine wote hawajui siasa za majukwaani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
4,214
Likes
1,536
Points
280
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2011
4,214 1,536 280
...Hivi we mtela sio riziki nini?. mwanaume mzima unashinda kumsifia mwanaume mwenzio wakati huna cheo chochote cha kuyafanya hayo! hebu mwachie Juliana hayo mambo, unatia aibu hata magamba wanakushangaa
 
Pukudu

Pukudu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
3,019
Likes
898
Points
280
Pukudu

Pukudu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
3,019 898 280
No wonder Mtela unamponda Koku kumbe ndio umechukua nafasi yake na wewe unalala chumba na 208 stereo hotel?
 
D

dmayola

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
560
Likes
3
Points
35
D

dmayola

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
560 3 35
Sasa huo ni umati au kikundi cha watu? Jamaa lilivyo kubwa jinga limeenda kukampeni kwenye SACCOS ya chama huko Monduli. Safari hii hawajaandamana na yule taahira mwenzake mtoa lugha chafu majukwaani. Eti anajifanya Che Guevara. Midevu utafikiri Inzi wamedandia mzoga.
 
W

wikolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
801
Likes
9
Points
35
W

wikolo

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
801 9 35
Naomba kufahamishwa. Ni kwanini safari karibu zote za Mwigulu ni lazima Juliana Shonza na Mwampamba wawepo? Ina maana hakuna vijana wengine CCM zaidi ya hao waliofukuzwa Chadema? Yaani ina maana vijana wengine wote hawajui siasa za majukwaani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mkuu labda atakapokuja kujibu langu atalijibu na hili la kwako pia!
 
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,346
Likes
60
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,346 60 0
No wonder Mtela unamponda Koku kumbe ndio umechukua nafasi yake na wewe unalala chumba na 208 stereo hotel?

Duuuuh hiii kali sasa . mwaga mkuuuuuuuuuuu
 
M

masumbwe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
116
Likes
0
Points
0
M

masumbwe

Senior Member
Joined Oct 17, 2012
116 0 0
Kuna binadamu wengine hata akili zao hazina akili hivi kwa kutumia ka kundi ka dogo kama haka unaweza kuja kuleta uzi hapa jamvini eti wamasai wameahidi ushindi wa kishindo pu.....vu. Halafu kumbe hilo ndilo li mte... mw....pambavu.linaonekana ni jitu la ajabu nilikuwa nalisikia tu kumbe ho....less
 

Forum statistics

Threads 1,274,333
Members 490,676
Posts 30,508,619