Mawaziri viongozi wakuu wa ccm ndani ya siasa za arusha


S

Sema Kweli

Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
53
Likes
0
Points
13
Age
49
S

Sema Kweli

Member
Joined Apr 12, 2013
53 0 13
Habari wana jamvi leo napenda tushikiane kujiuliza
Nini kilicho jificha ndani ya sisa za Arusha?ukiangalia jinsi vyama vyote katika chaguzi hizi ndogo utakubaliana na mimi kuwa Arusha ndo imepewa kipaumbele kuliko kwingine kote.

Na utakubaliana na mimi pia Arusha pia ndo imetembelewa na viongozi wakubwa wa vyama kuliko kote kwingine.

Viongozi walio fika Arusha na vyama vyao na vyeo vyao.

Stevin wasira-Waziri uratibu CCM.
Chiristopha Olesendeka Mjumbe wa NEC CCM.
Mwigulu Mchemba Naibu katibu Mkuu CCM taifa.
Gudluck Medeye Naibu waziri nyumba-CCM.
Nape Nauye katibu muenezi CCM.
Agrey Mwanry Naibu waziri tamisemi-CCM.

Ibrahim Lipumba Mwenyekiti taifa- CUF.
Maalim Seif Makamu wa rais Zanzibar-CUF
Julius Mtatiro Naibu katibu Mkuu bara -CUF

Godbles Jonathan Lema Mbunge Chadema.
Joshua Nasary Mbunge Chadema.

Majina haya yote ni makubwa ila ukiangalia haya mawili ya chini ndio sababu ya nguvu kubwa inayo tumika na vyama hivi vya ccm na cuf,hakuna ubishi hapa kuwa lema amekuwa ni guzo ndani ya Tanzania na Nje ya Tanzania macho na masikio ya watu wengi ni kutaka kusikia kitakacho tokea Arusha.

Nimebahatika kwa kuwa niko Arusha kuhudhuria mikutano ya vyama hivi kiukweli lema na wana chadema bado wanaendelea kuwapa wanasiasa hawa wenye majina makubwa shida na kushindwa kujua wamewakosea nini wana wa Arusha,najua wapo ambao hawata nielewa ila matokeo ya uchaguzi huu yatatoa picha kwa kuangalia nguvu ya majina ya wanasiasa hawa ila hakuna ubishi kumshinda lema bado haiwezekani hapa Arusha.:heh:
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Hao mawaziri wanatumia magari gani? Kama wanatumia magari ya serikali ni makosa makubwa. Mlioko Ar tafadhali tujuzeni.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
S

Sema Kweli

Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
53
Likes
0
Points
13
Age
49
S

Sema Kweli

Member
Joined Apr 12, 2013
53 0 13
Kiukweli CCM inawasumbua sana kuikosa Arusha na ndio sababu viongozi wote wanakuja Arusha,na nimesikia bado jumamosi siku ya kuhitimisha watakuja karibu mawaziri wote isipokuwa rais na waziri mkuu tu.

Kweli Lema ni kiboko ya maccm.
 
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
4,650
Likes
2,148
Points
280
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
4,650 2,148 280
Habari wana jamvi leo napenda tushikiane kujiuliza
Nini kilicho jificha ndani ya sisa za Arusha?ukiangalia jinsi vyama vyote katika chaguzi hizi ndogo utakubaliana na mimi kuwa Arusha ndo imepewa kipaumbele kuliko kwingine kote.

Na utakubaliana na mimi pia Arusha pia ndo imetembelewa na viongozi wakubwa wa vyama kuliko kote kwingine.

Viongozi walio fika Arusha na vyama vyao na vyeo vyao.

Stevin wasira-Waziri uratibu CCM.
Chiristopha Olesendeka Mjumbe wa NEC CCM.
Mwigulu Mchemba Naibu katibu Mkuu CCM taifa.
Gudluck Medeye Naibu waziri nyumba-CCM.
Nape Nauye katibu muenezi CCM.
Agrey Mwanry Naibu waziri tamisemi-CCM.

Ibrahim Lipumba Mwenyekiti taifa- CUF.
Maalim Seif Makamu wa rais Zanzibar-CUF
Julius Mtatiro Naibu katibu Mkuu bara -CUF

Godbles Jonathan Lema Mbunge Chadema.
Joshua Nasary Mbunge Chadema.

Majina haya yote ni makubwa ila ukiangalia haya mawili ya chini ndio sababu ya nguvu kubwa inayo tumika na vyama hivi vya ccm na cuf,hakuna ubishi hapa kuwa lema amekuwa ni guzo ndani ya Tanzania na Nje ya Tanzania macho na masikio ya watu wengi ni kutaka kusikia kitakacho tokea Arusha.

Nimebahatika kwa kuwa niko Arusha kuhudhuria mikutano ya vyama hivi kiukweli lema na wana chadema bado wanaendelea kuwapa wanasiasa hawa wenye majina makubwa shida na kushindwa kujua wamewakosea nini wana wa Arusha,najua wapo ambao hawata nielewa ila matokeo ya uchaguzi huu yatatoa picha kwa kuangalia nguvu ya majina ya wanasiasa hawa ila hakuna ubishi kumshinda lema bado haiwezekani hapa Arusha.:heh:[/QUOT

Ndugu Hiyo nguvu uionayo kutoka CCM, huwezi kuifananisha na Lema wala Nasari, nguvu hizo zimewekwa kwa nia ya kurudisha hadhi yao Arusha. Chadema wamejijenga vizuri sana Arusha, na imekuwa ngome yao, sehemu zingine hawana kitu, kwa hivyo both ccm na cuf ni wajibu wao kuweka nguvu nyingi na kuugawa Arusha isiwe ngome ya CDM. Jee huu ni wakati muafaka kwa Slaa kuwa njee ya nchi. Chadema ikipoteza hata kiti kimoja basi kosa ni Slaa na Mbowe
 
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
Wanaogopa umeya wa Jiji la Arusha usije angukia kwa cdm kwani deal zao nyingi wanapigia hapo Arusha.........Nampongeza lema kwa kukaa jimboni kwake Mara kwa mara kwani imemjengea heshima ndani na nje ya Arusha wabunge wengi hasa wa ccm wanaishi Dar es salaam sasa mda wakukaa na wananchi wao nakusikiliza kero zao wataupata wapi? Ila bwana lema kila siku yupo pale
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Likes
1
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 1 0
Mh. Kazi ipo A town, ccm naona kipigo cha Arumeru kinakaribia!
 
M

Mzee Wa Sumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
643
Likes
1
Points
0
Age
41
M

Mzee Wa Sumu

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
643 1 0
Arusha ni mji wa kibiashara hatupendi wahuni wachukue ili migomo iendelee tutafanya kazi saa ngapi za kujenga uchumi Ndio maana viongozi wanaolitakia mema taifa wamekwenda maalim seif yupo Pemba ktk kampeni za ubunge mwambieni Mbowe nae aende hakatazwi mtu
 

Forum statistics

Threads 1,275,231
Members 490,947
Posts 30,536,341