ulimbo lunopo
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 243
- 37
wadau mliopo sehemu ambako uchaguzi unafanyika tunaomba muwe na moyo wa kutujulisha jinsi mambo yanavyokwenda!!! @ mbunge wa ilula pale kilolo na wengine kote!! Aluta!.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...tukio la mlipuko wa
bom Arusha umefanya uchaguzi wa madiwani leo kwote nchi kukosa maana
kabisa...kama watu unaotaka kuwaongoza unawaua utamwogoza
nani?...
...tukio la mlipuko wa bom Arusha umefanya uchaguzi wa madiwani leo kwote nchi kukosa maana kabisa...kama watu unaotaka kuwaongoza unawaua utamwogoza nani?...
nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi
nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi
nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi
Ccm itaiharibu hii nchi.
unamfahamu mwigulu nchemba? Huyu ndo mpangaji mkubwa wa mauaji kwenye mikutano ya wapinzani, ndiye aliyepanga kumdhuru mnyika kule Ndago, pia ndiye alipanga kuwaua wabunge wa cdm kule mwanza! Mwigulu ni janga kwa taifa!nchi ya wapi iue watu wake. chadema mjipime upya c wasafi
Kaka mbona wapo watu wanachoma nyumba zao? Inategemea analengo gani? Labda anayaka insurance ilipe? So inategemea na lengo lakuchoma nyumba.
wadau mliopo sehemu ambako uchaguzi unafanyika tunaomba muwe na moyo wa kutujulisha jinsi mambo yanavyokwenda!!! @ mbunge wa ilula pale kilolo na wengine kote!! Aluta!.....
...tukio la mlipuko wa bom Arusha umefanya uchaguzi wa madiwani leo kwote nchi kukosa maana kabisa...kama watu unaotaka kuwaongoza unawaua utamwogoza nani?...
Mods ondoeni hii thread!
Haina maana kurushwa na member ambaye ni mzigo na anategemea update kwa wengine!
Mods acheni valuu njoni muitendee haki plse
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums