Ndungu Wanabaraza,
Kwa kifupi,sie ambao tumepotezewa ndungu na jamaa zetu, tunaiomba sana CHADEMA, iishinikize Serikali ilete wachunguzi HURU ili kufahamu vyanzo vya vifo vya ndugu zetu.
Kuomba uchunguzi HURU kutoka mashirika ya nje, kutaweza kutufariji kutokana na sitofahamu iliotukuta watanzania hata kutokana na kuona baadhi ya miili ikiwa na risasi, mingine kuwa na matundu ya Risasi, kwa hali hiyo hatuna IMANI kabisa na jeshi la POLISI na Serikali ya Mkoa.
Tunaomba sisi binafsi, kushirikiana na CHADEMA,na raia wema, tulete wachunguzi wa kimataifa, hata kwa gharama kubwa ili UKWELI ujulikane.
Hatuhitaji FBI tu hata ndugu zetu wakenya wanaweza tena china ya team ya watu watatu na kwa siku zisizozidi tano.
Tutashukru kama CHADEMA na SERIKALI mtatuunga mkono.
NB: Bado hatujakutana rasmi.
NAPENDEKEZA