Nguvu ya umma imeshinda

Nguvu ya umma imeshinda

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,214
Reaction score
14,926
Polisi wameruhusu watu waingie uwanjani Gari la matangazo limeshawashwa uploadfromtaptalk1371557111495.jpg
 
Busara imetumika zaidi kuliko maafa
 
Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Dhuluma iliwahi kushinda haki .
 
KWA HIO WAMERUHUSU KUAGA MAREHEMU WAHANGA WA MILIPUKO YA MABOMU YA ccm??
 
Funguka vizuri, gari la matangazo limeshawashwa kwa maana ya kuungua au kutembea? Eleza vizuri ni wapi huko?

nadhani anamaanisha limeruhusiwa kuwatangazia wananchi ratiba ya mazishi
 
wanazidi kujidhoofisha bila kujua, ndani ya ccm wenye busara wamekua adimu kama almasi.

mambo shaghala bagala.!!
 
bado nina imani kuna watu wachache ndani ya CCM wana Busara; hebu tusubiri tuone!!
 
Funguka vizuri, gari la matangazo limeshawashwa kwa maana ya kuungua au kutembea? Eleza vizuri ni wapi huko?

Maiti zimezuiliwa na Serikali ya ccm hamna mazishi leo, ikitokea bingine tutajuzana
 
Maiti zimezuiliwa na Serikali ya ccm hamna mazishi leo, ikitokea bingine tutajuzana

sasa hii kazi si itaisha mwezi ujao,kwani wabunge wenu wanasemaje kuhusu kuchangia bajeti bungeni?
 
duh, kaazi kweli kweli! Hili saga si la kitoto
 
Back
Top Bottom