Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
CCM NI MTUHUMIWA NAMBA MOJA .
Mimi NI MTANZANIA kijana wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane, kijana mwenye elimu ya chuo kikuu. Leo asubuhi mida ya saa tano nilikuwa na fuatilia bunge na ndipo ghafla mvivu wa fikra mmoja akatoa kauli ya serikali juu ya bomu la Arusha, mmmmh haihitaji akili ya chuo kikuu kutambua huyu mvivu wa fikra alikuwa anamaanisha nini kama kawaida kapewa mda mwingi na ANA MAKINDA wakujieleza kaanza na kusema kwamba upinzani unahusika katika mlipuko wa Arusha kutokana na kauli zao eti NCHI HAITATAWALIKA na alipo hitimisha akatangaza donge nono kwa mtu yeyote atakaye toa taarifa juu ya tukio la bomu la ARUSHA donge hilo ni fedha taslim za KITANZANIA M 100 tena eti hata wakiwa wengi serikali haita sita kuwazawadia wote sasa nachambua kama ifuatavyo.
1 Lukuvi kama siyeye basi kutokana na maelezo yake niwazi kwamba anamjua nakumfadhili yule ambaye alirusha bomu napolisi kumficha na kuwatetea polisi nkwamba walikuwa wana rusha risasi ili kujilinda na raia waliokuwa wanawashsmbilia risasi poilisi kutokana nakile ambacho kilijiri
2 CCM kwa pamoja wanafahamu vizuri zaidi kuhusiana na mipango hiyo kwani siku mbili kabla NAPE NA NCHEMBA walitoa taarifa kwenye moja ya mikuatano yao kuhusiana na uchaguzi wa madiwani.
Hivyo basi donge nono hawezi kupewa mtanzania awayeyote ule kwani WAHUSIKA NDIO WALIOTANGAZA TENDA HIYO kutokana na mfumo uliopo ndani ya serikali ya CCM hiyo ndio technical plan(mipango ya ushindi) kwa sasa ndani ya SERIKALI YAO HIVYO WALIO FANIKISHA MIPANGO HII NDANI YA CCM NI MASHUJAA TENA WAMEHAKIKISHIWA ULINZI HIVYO KUMFAHAMU MLIPUAJI NIKUKIDHALILISHA CHAMA.
NB WATANZANIA WA LEO SI WATANZANIA WA JANA POLENI WAHANGA WOTE HIYO NDIO CCM KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI