Natangaza kujiunga na jeshi la ukombozi (chadema)


N

NG'HOMBA YA BOCHE

Member
Joined
Mar 29, 2013
Messages
27
Likes
0
Points
0
N

NG'HOMBA YA BOCHE

Member
Joined Mar 29, 2013
27 0 0
Ndugu zangu wana JF na walio wapigania haki wa ukweli, nikiwa binadamu mwenye akili timamu na aliyekuwa kiongozi{wa vijana} na mfuasi mkubwa wa chama cha MAPINDUNZI nimeamua kuachana na siasa za chama hichi kikongwe nchini kwani kimepoteza uwezo wa kuongoza nchi.

Aidha uamuzi wangu umeangalia maslahi mapana ya mimi kama kijana kuendelea kukitumikia chama kinachoratibu na kushadidia MAUAJI ya raia wake ili tu kudhoofisha nguvu ya UPINZANI kwa lengo la kuvipaka matope vyama vya upinzani{rejea matukio ya MWANGOSI, MABOMU YA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA, kuteswa kwa ULIMBOKA, KIBANDA, Kutekwa na kuumizwa kwa wafuasi wa CHADEMA katika chaguzi ndogondogo za madiwani ie IGUNGA, MOROGORO na sehemu mbalimbali nchini}. uamuzim wangu unapata nguvu pia kutokana na rushwa zisizoisha ndani ya chama changu rejea chaguzi ndogondogo za madiwani zilizoisha juzijuzi ambapo maatukio kama kukamatwa kwa kiongozi kama MARY NAGU akigawa rushwa na rushwa zingine ndani ya chama changu hiki.

Kujiunga kwangu huku kutaambatana na utoaji wa siri nzito zinazofanywa na viongozi wa chama cha mapinduzi katika uhujumu wa vyama vya upinzani na namna viongozi wake wanavyobambikizia kesi RAIA wasio na hatia. Hatia hii nitaifanya kwa umakini na weledi mkubwa kwani najua njama nyingi za kuangamiza wanaokisaliti chama hiki na kutoa siri zao sehemu zingine.
 
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
2,907
Likes
266
Points
180
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
2,907 266 180
Karibu sana, huku twajitolea hatulipwi na mtu ila ni maono yetu na ndoto zetu za kwamba siku moja kila mmoja wetu ataweza kumheshimu mwingine kama binadamu mwenzake waishio pamoja. Tunandoto ya kuona afya inapewa kipaumbele, elimu inapewa kipaumbele, maji safi yanapatikana kwa kila mtanzania, barabara nzuri zinapitika, reli ya kati ikifanyiwa mapinduzi ya kitechnolojia na kuwa ya umeme, tuna hamu kuona mabenki yakiwasomesha watanzania kwa riba nafuu, tunandoto ya kuona kila mmoja kilipa kodi kwa ajili ya ujenzi wa taifa na si watu wachache kulipa kodi huku mamilion ya watu wakikaa kutegemea hao wanaolipa kodi wawalishe. Kwa ufupi, hayo hapo juu ni mambo yanayotukusuma kuwa na shauku kubwa ya mageuzi ya kiungozi nchini.
Ungeenda moja kwa moja kwenye sehemu nyeti ambayo ni siri za magamba!!
 
M

Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
4,941
Likes
382
Points
180
M

Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
4,941 382 180
Hongera sana. utakuwa chini ya uangalizi na hilo lisikupe hofu.
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,967
Likes
9,972
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,967 9,972 280
Pole sana, hujui ulitendalo
 
M

Mulungwani

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
457
Likes
1
Points
33
Age
42
M

Mulungwani

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
457 1 33
Karibu kamanda kwenye mstari wa mbele wa mapambano ila usijekutukimbia kama wale vijana wawili shonza na mwenzake mwampamba
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Hongera sana!! Hauko peke yako tupo JESHI kubwa humu.

People's power....
 

Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,493