VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803




[video=youtube_share;98mE-tYj1bs]http://youtu.be/98mE-tYj1bs[/video]​
 
Ndio kusema anawalinganisha hawa watu na ndama au...? Mwigulu Chemba ni noma
 
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii nguli wa kisiasa kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji au nani ni mdini na nani siyo mdini katika karne hii ya 21,

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.

CCM Tumethubutu, tumeweza na sasa tunatenda.
 
Mimi ananizingua na ile kofia yake ya Chinese Red Army.
Nadhani anavaa kwa sababu ni mkuu wa kikosi cha kuleta fujo cha CCM
 
Hivyo Huyu Nchemba ndio turufu ya mwisho ya CCM anazungumza Ndama kunyonya. AMA kweli bye bye CCM sio Arusha tu ni Tanzania nzima
 
niliwapita jana pale ilboru anaongea pumba kama kawaida eti hata tukichagua madiwani wa chadema hawata badilisha chochote kwa sababu ilani ni ile ile ya ccm, nikajiuliza hivi kumbe hakuna haja ya kuwa na chama cha upinzani
 
Huko si ndo mkuu wa mkoa aliwaambia waandishi siku ya mei mosi wawe tayari kunyofolewa kucha?
 
Huyu mwigulu hajakoma na Arumeru bado anakuja kwenye moto wa chadema arusha!

Kweli ccm wanatubutu hahaaaa

Mwigulu ataisikia ccm Arusha kwenye magazeti

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Eti Mwigulu ni karata ya turufu ya CCM.....hahahah!
 
Ccm Arusha wanapoteza muda na fedha zao bure,hata wafanye nini arusha ni ngumu kwao,CDM kata ya Mjini kati ndiyo ilikua ngumu kwao kutokana na mtu aliyesimamishwa na ccm mwaka 2010 kua kipenzi cha watu.(Mjini kati hawarudii uchaguzi)
 
niliwapita jana pale ilboru anaongea pumba kama kawaida eti hata tukichagua madiwani wa chadema hawata badilisha chochote kwa sababu ilani ni ile ile ya ccm, nikajiuliza hivi kumbe hakuna haja ya kuwa na chama cha upinzani

Anawadanganya wajinga halmashauri zilizo chini ya chadema elimu ni bure na hawapeliki madawati,na michango ya kijngajinga hakuna iramba.
 
niliwapita jana pale ilboru anaongea pumba kama kawaida eti hata tukichagua madiwani wa chadema hawata badilisha chochote kwa sababu ilani ni ile ile ya ccm, nikajiuliza hivi kumbe hakuna haja ya kuwa na chama cha upinzani

Tatizo anadhani waTanzania wote wana elimu ya MMEMKWA.
 
Tatizo anadhani waTanzania wote wana elimu ya MMEMKWA.
Huyu mwiguli ni kichwa mpanzi kweli, watu wa arusha mbona walisha wakataa siku nyingi mbona hawajafa?au lema ni ccm siku hizi? wana sema watu wote wa kaskazini ni cdm,sasa mwigulu+ccm ni nini wanafanya huko kaskazini? na je wagombea wao wa udiwani ni wa kusini? Lowasa ni wakigoma?Naichukia ccm kuliko shetani.
 
sasa mwigulu hana mvuto wa kisiasa tena....mandevu kama mfuasi wa alkaida


Napata shaka na uchambuzi wako, sababu hana muda mrefu kwenye siasa za ccm.watu walianza kumfahamu kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga ambapo,hata hivyo alikuwa anaropoka sana na kubebwa na rushwa ya maji ya maboza, chakula cha msaada, na pia akatoka na kashfa ya kufumaniwa na mke wa mtu.katika siasa za igunga watu wengi walihoji umakini na umadhubuti wake.lakini, sababu ccm inaendeshwa kwa makundi na kukomoana , bado alionekana kijana mchapa kazi na mwanasiasa mahili upande wa kundi lake,kuwa," anajibu wapinzani."Lakini si kweli wana ccm wapatao mil 6 wanamkubali.wapo vijana wasomi , makini ,wachapa kazi na weledi kimisingi ya kusaidia umma hata kutetea itikadi ya ccm ya kutetea wanyonge.lakini hawapewi nafasi.Hivyo kachwa kutetea kundi la wana ccm mafisadi kiasi, kwamba anashindwa kuhimili mabadiliko na kuwa msanii wa kuropoka maneno yake na si sera za kutetea wanyonge.Ki msingi NCHEMBA si mwana siasa mweledi wa si mahili , na wal hakuwa mvuto muda mrefu.ila kwa wanaccm wa kundi lake wanaosaidiwa na Riz mtoto wa kaya , wakitetewa na usalama wa taifa , mwache naye apige karata yake .ndo maisha ya watanzania tumezoe ghiriba, hili, hadaa, na unyonge ulikithiri bila kuwa na mtetezi.sasa kama anasema maneno hayo ya kutowasaidia wananchi wa Arusha , je wana arusha si walipa kodi?je hakuna rasilimali mkoa wa arusha taifa linafaidika nazo ambazo wanaArusha wanasitahiki kupelekewa maendeleo bila kujali itikadi za kichama? wana Arusha je ,si watanzania wanaositahiki maisha bora bila siasa za vyema?kama kweli kasema hivyo hata ndani ya ccm hafai.
 
Kuishabikia ccm kwasasa kunahitaji Uwe kichwamaji hasa au ule kwanza kale kajani la sivyo...ni ngumu ukiwa na akili zako timamu! Ni wazimu na sio siri ccm is going to the very end tena kwa aibu hakuna kitakachoweza kuirudisha ccm kwenye mstari wa uzalendo umakini na utendaji wenye kujali maslahi ya Taifa kwanza kwao kila kitu ni deal ni vema wakajiandaa tu kuwa chama cha upinzani au wakajiandaa kupotea milele
 
Wapiga viroba na bange mmetiririka pumba zenu wenyewe. Mmeridhika? Afu mnajikoroga kweli mara ccm haikubaliki kabisa mwingine kata ya mjini. Ccm as usual hatuwezi ongozwa na wavuta bange na watu wa majungu kama chadema.
 
Mi huyu jamaa nilisoma nae pale Mazengo huwa ana tabia ya kutafuta umaarufu bila kutumia akili. Pale shuleni wiki chache sana kabla ya necta alikuwa akitembea anapungia watu vidole vitatu akimaanisha atapata div 1 ya point tatu kwenye EGM yake. Pamoja na kumeza Mzumbe project yote maswali na majibu yake aliambulia div 3 ya mwisho...mchumi 1st class huyo. Vijana kama akina Nashon Andrew walikuwa wanamshangaa tu kisha necta ikasoma div 1 kali tu kwa akina Andrew. Yeye oohh nakata rufaa..mara nimeonewa...mara nilipaniki...hovyooo...midevu yake anataka sifa tu. Siye huyu alimshambulia Maalim Seif kwamba baada ya kuupata u VP sasa kanyoa timberland...mie Mwigulu huwa namdharau sana.

Pangu Pakavu.
 
Mchumi kageuka chinjachinja, Hayo magwanda na Midevu anaonekana ni mtu hatari ambaye anaweza kuwadhuru CCM pindi wakimtema. Jamaa kachanganyikiwa na wanamlea, lakini majuto mjukuu
 
Back
Top Bottom