serikali ya Tanzania inayoongozwa na wahuni wa ccm wanasahau kuwa risasi inuwa binadamu haiwezi kuuwa FIKRA,mabomu yanatawanya umati lakini hayatawanyi ukweli.Arusha ccm haikubaliki kwa nini msikubali kama Pemba? mwisho wa yote hamtashinnda ukweli,Mandela aliweka ndani miaka 27 ANC haikufa waliendellea wengine wengi tu,Solomon mahlangu walimuua,stee biko walimuua na wengine wengi ANC haikufa.CCM na serkali yenu mmekosa mtu mwenye busara kwa hili? CHADEMA haitakufa mtachelewesha tu lakini hamtaibomoa kamwe,jiulizeni mmeuwa wanachama wangapi wa chadema je imeyumba? na mmewaweka ndani viongozi wao na kuwafukuza bungeni imsaidia nini? na sasa mnaendeleza mauwaji kwa wafuasi na wanachama hamtafanikiwa Arusha ni chadema na chadema ni Arusha hakuna ubishi.