Judith Moshi Kuzikwa leo 20/06/2013 SOKON ONE ARUSHA.

Judith Moshi Kuzikwa leo 20/06/2013 SOKON ONE ARUSHA.

Status
Not open for further replies.

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,566
Wananchi, wapenzi na wanachama wote wa CHADEMA tukutane Mount Meru Mortuary asubuhi saa tatu kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Judith Moshi aliyefia kwenye tukio la bomu tarehe 15/2013.

Mhe. Mbowe ataongoza tukio hilo.
 
Mbona CCM wamesema wanamtafuta ajisalamishe itakuwaje tena kwenye tukio la kuaga ?
 
Rest in peace Judith, you have fought the war and fought it well, you will be remembered always in our hearts
 
Chagonja hatatumia opportunity hiyo kumkamata kweli?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwani unafikiri policcm hawajui halipo au wanacheza na akili za wapumbavu wachache
 
RIP Judith,

Sisi tuna Mungu, kuna wengine wana silaha.

Mungu wetu akupumzishe kwa amani. Amina!
 
Pamoja sana kamanda. Poleni sana wana Arusha. Kiroho na kimawazo tuko karibu wapendwa.
 
Tunawaomba wana wa Arusha mtuwakilishe kwa umoja kama kawaida..
TUNAWAOMBA MSITUANGUSHE SISI TULIO MBALI..NENDENI KWA WINGI SANA
 
hii ni sehemu muruwa kabisa !sasa tuone kama watafyatua mabomu yao pale karibu na hospitali,polisi,TRA,UN,East Africa,migration,.....hili eneo ni very strategic.
nashauri waombolezaji wavae nguo nyeupe na kushika matawi ya miti.
 
Nimejikuta nalia tu. Rest in peace honey Mungu atakulipia tu, walaaniwe wote waliohusika na mauaji yale damu yako Judith iendelee kudai haki yako mbele za Bwana. Mungu awatie nguvu wapendwa wako wote uliowaaacha nyuma. Nashindwa kuendelea kuandika it is paining Lord why. Why now oh Lord, the family needs her the most. R.I.P Judith.
 
Huyu ndiye aliyeanguka pale chini siku ya tukio?

Wananchi, wapenzi na wanachama wote wa CHADEMA tukutane Mount Meru Mortuary asubuhi saa tatu kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Judith Moshi aliyefia kwenye tukio la bomu tarehe 15/2013.

Mhe. Mbowe ataongoza tukio hilo.
 
Mbona CCM wamesema wanamtafuta ajisalamishe itakuwaje tena kwenye tukio la kuaga ?

Mkuu Lunyungu kijiko cha jikoni hakiogopi moto, makamanda wote wa Arusha tutakuwapo!
 
Last edited by a moderator:
Arushaone haya maisha ya kusababishiwa kifo na magamba yanatisha sana! ee mungu tunusuru na huu ukatili wa hawa wapuuzi!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom