mabaraza ya katiba ngazi ya wilaya-serikali za mitaa

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
ni declare interest mimi ni mjumbe wa baraza la katiba..according kwa tume ya ndugu warioba kulingana na kalenda yake mabaraza yanaanza kukaa kuanzia tarahe 10 mwezi huu ambayo ni kesho,na kuanza kuijadili na kuchukua maoni kutoka kwa wananchii juu ya rasimu hii ya katina iliyotolewa hivi karibuni....sasa mpaka sasa sina taarifa ya kuitwa wala nini na inaweza kuwa huenda kwa bahati mbaya nimekosa taarifaa..kwa hiyoo mwenye ugwiji kwenye hili naomba anitaarifu chochote kuhusiana na hii mambo....mbili je kuna sitting allowance zitakazotelewa kwenye haya mabaraza????nawasilisha..
 
Aisee namimi pia ni mjumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya na hadi sasa hakuna taarifa yoyote japo leo ni Tar 17 June. Awali tulijulishwa kwamba mabaraza haya yatakutana kwa miezi miwili yaani June hadi August then kuipa tume muda wa kuincorporate mawazo ya mabaraza kila kuwakilisha version2 kwenye bunge la katiba mwezi september mwaka huu. Kumbuka pia kwamba baada ya bunge la katika mwezi september kitakachofuata ni kura maoni ambayo maandalizi yake yanaanza mwezi wa october mwaka huu. Cha kushangaza ni kwamba hadi sasa mabaraza hayajulikani yataanza lini ikimaanisha kuwa matarajio ya kupata katiba mwezi April 2014 yanazidi kudidimia. Nazidi kuamini kuwa hii nchi tumelogwa na mlogaji mwenyewe keshakufa
 
sasa mtwambie ni lini hasa ili tukajipange foleni tutoe yetu ya rohoni...la kwangu ni jina la Tanganyika na tume huru ya uchaguzi, na pccb huru
 
Back
Top Bottom