Tukio la Arusha,taratibu mchawi wa amani yetu anaanza kubainaka

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
954
510
Imekuwa kawaida kwa watanzania linapotokea tukio lolote la mauaji au mlipuko wa bomu kuwahusisha waislamu kana kwamba waislamu hawapendi Amani.Ukiangalia hata lile tukio la mlipuko wa kwanza wa bomu kwenye lile kanisa la olasiti tayari watu wa kwanza kushutumiwa walikuwa waislamu ndio maana hata ukiangalia watu wa mwanzo kukamatwa walikuwa waarabu pale namanga kana kwamba hakuna wazungu waliokuwa wamepita pale mpakani.

Waislam pamoja na masheikh wao wamekuwa wakipakazwa matope juu ya kuhusika na matukio mbalimbali hata bila uchunguzi kufanyika.Kwasasa ni dhahiri tumeanza kuona wavuruga amani yetu .Na hawa si wengine bali ni vyama vya siasa kwani mpaka sasa ndivyo vinavyosukumiana mpira kutokana na tukio la bomu la arusha.Ni muhimu uchunguzi wa kina ukafanyika ili kuwabaini walengwa kuliko kukisia na kuwasingizia watu wengine.Hamna kitu kibaya na kinachotia hasira kama kusingiziwa kitu ambacho hujahusika nacho.

Sasa hivi si wakati wa propaganda,ni ukweli pekee ndiyo utakalolinusuru taifa kutoingia kwenye vitendo vitakavyosababisha kuvunjika kwa amani ya nchi yetu.
 
imekuwa kawaida kwa watanzania linapotokea tukio lolote la mauaji au mlipuko wa bomu kuwahusisha waislamu kana kwamba waislamu hawapendi amani.ukiangalia hata lile tukio la mlipuko wa kwanza wa bomu kwenye lile kanisa la olasiti tayari watu wa kwanza kushutumiwa walikuwa waislamu ndio maana hata ukiangalia watu wa mwanzo kukamatwa walikuwa waarabu pale namanga kana kwamba hakuna wazungu waliokuwa wamepita pale mpakani.

Waislam pamoja na masheikh wao wamekuwa wakipakazwa matope juu ya kuhusika na matukio mbalimbali hata bila uchunguzi kufanyika.kwasasa ni dhahiri tumeanza kuona wavuruga amani yetu .na hawa si wengine bali ni vyama vya siasa kwani mpaka sasa ndivyo vinavyosukumiana mpira kutokana na tukio la bomu la arusha.ni muhimu uchunguzi wa kina ukafanyika ili kuwabaini walengwa kuliko kukisia na kuwasingizia watu wengine.hamna kitu kibaya na kinachotia hasira kama kusingiziwa kitu ambacho hujahusika nacho.

Sasa hivi si wakati wa propaganda,ni ukweli pekee ndiyo utakalolinusuru taifa kutoingia kwenye vitendo vitakavyosababisha kuvunjika kwa amani ya nchi yetu.

ukweli utajulikana tuu,, kumbuka islamic ndio wagomvi nchini tanzania lakini. Walianza wenyewe kuchinja kuchinja, haikwisha, hao aboud rogo rogo, mara oeni makafri ili tuongeze idadi ya waislamu.
Naamini na imani yangu bado ni ile tu kuwa islamic ndio wanaotumiwa kama hawajitumi. Wanaojua kutumia mabomu nchini tanzania ni waislamu na siyo wakristu.
Poleni sana kama mwaona mwasingiziwa, ila ukweli huwa unauma, tutakufa ila hatutaisha kamwe.
 
Hemu tusizungumzie udini, sasa hivi tuungane pamoja kwa ajili ya mstakabali wa nchi yetu.
 
Mganga mkuu..geuza uwe mgonjwa mkuu

HAZIKUTOSHI kwa huo udini na uccm wako.
 
We should not go off point. The issue at hand is the Arusha saga. Let us keep united.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Uislamu umeingiaje kwenye bunduki za polisi?
Uislamu unaingiaje kwenye bastola za polisi?
Bomu lilirushwa na ffu inaingiaje kwenye uislamu?

Labda kama jeshi la polisi ni la kiislamu hapo naweza kukubali
 
Imekuwa kawaida kwa watanzania linapotokea tukio lolote la mauaji au mlipuko wa bomu kuwahusisha waislamu kana kwamba waislamu hawapendi Amani.Ukiangalia hata lile tukio la mlipuko wa kwanza wa bomu kwenye lile kanisa la olasiti tayari watu wa kwanza kushutumiwa walikuwa waislamu ndio maana hata ukiangalia watu wa mwanzo kukamatwa walikuwa waarabu pale namanga kana kwamba hakuna wazungu waliokuwa wamepita pale mpakani.

Waislam pamoja na masheikh wao wamekuwa wakipakazwa matope juu ya kuhusika na matukio mbalimbali hata bila uchunguzi kufanyika.Kwasasa ni dhahiri tumeanza kuona wavuruga amani yetu .Na hawa si wengine bali ni vyama vya siasa kwani mpaka sasa ndivyo vinavyosukumiana mpira kutokana na tukio la bomu la arusha.Ni muhimu uchunguzi wa kina ukafanyika ili kuwabaini walengwa kuliko kukisia na kuwasingizia watu wengine.Hamna kitu kibaya na kinachotia hasira kama kusingiziwa kitu ambacho hujahusika nacho.

Sasa hivi si wakati wa propaganda,ni ukweli pekee ndiyo utakalolinusuru taifa kutoingia kwenye vitendo vitakavyosababisha kuvunjika kwa amani ya nchi yetu.
NI KWELI Mashetani wachache wanatugombanisha nao ni TISS na polisi. Nilionywa 1995 na afisa usalama mmoja nisihudhurie kampeni za NCCR kwa sababu wanajichangaga ndani kuleta fujo! Sasa naamini! Polisi -chinja tupax3
 
Inabidi tutoeo hiyo neocolonialism still tutaishia pabaya ili simply wachukue chao mapema.. Tanzania is like a walkingcop..
 
Mchawi wa amani ya Tanzania ni CCM!! Kikwete ndiye mratibu mkuu wa mauaji yawe ya kidini au ya kisiasa. Full stop!!
 
Huu sio wakati wa kujadili udini hebu tukae pamoja na kulaani mauaji ya Arusha . Mleta mada si vema kuzichanganya hizi dini mbili kumbuka ni mahasimu hawa wala huwezi kuwaweka chungu kimoja so please tuache mijadala ya dini huwa haina muafaka mwisho wa siku ni kukashifiana tu . Kashfa zilizopita huko nyuma zinatutosha sasa tuungane tujenge nchi.
 
Bado waislam wenye iman kali walioaminishwa kuwa chadema ni chama kinachotetea mfumo kristo wanaweza fanya tukio hilo.
 
Jamani udini unaingiaje hapa? Naamini maneno aliyowah kusema mwandish flan kwamba TUMEGAWANYWA NASI TUMEGAWANYIKA.
 
ukweli utajulikana tuu,, kumbuka islamic ndio wagomvi nchini tanzania lakini. Walianza wenyewe kuchinja kuchinja, haikwisha, hao aboud rogo rogo, mara oeni makafri ili tuongeze idadi ya waislamu.
Naamini na imani yangu bado ni ile tu kuwa islamic ndio wanaotumiwa kama hawajitumi. Wanaojua kutumia mabomu nchini tanzania ni waislamu na siyo wakristu.
Poleni sana kama mwaona mwasingiziwa, ila ukweli huwa unauma, tutakufa ila hatutaisha kamwe.

kwahiyo yule ambrose alowalipua waumini pale kanisani arusha ni muislam eeeh????
 
Back
Top Bottom