Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue


Mohamedi Mtoi

Mohamedi Mtoi

R I P
Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,325
Likes
51
Points
0
Mohamedi Mtoi

Mohamedi Mtoi

R I P
Joined Dec 11, 2010
3,325 51 0
Soma kwa makini na nanukuu (neno kwa neno) gazeti la Mwananchi toleo Na: 4741;
Jumanne, Juni 18 2013 ukurasa wa 4;

Majeruhi Mwengine Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39) aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na Polisi na kudondekewa na vipande vya bomu.

Alisema alikuwa nyma ya jukwa kuu akimsikiliza Mbowe na alipomaliza kuhutubia alishuka jukwaani kukusanya sadaka, ndipo alipoona mfuko wa mweusi mdogo wa plasitiki ukipeperuka juu.“Nilidhani ni upepo unapeperusha kitu, lakini ghafla nilisikia kishindo na nikamsikia mama mmoja akipiga kelele kuwa aliyerusha mfuko anakimbia, nilipogeuka nikajikuta nipo chini,” alisema Hilali.

Alisema alipokuwa anaangalia aliona kijana mmoja amekaribia kumfikia aliyerusha bomu lakini ghafla akapigwa risasi na kuanguka chinina aliyekuwa nafuatia kwa nyuma naye akapigwa risasi akaona anaruka na kudondoka chini huku damu zikivuja.“Likini mwisho wa yote kijana alirusha hilo fuko aliingia kwenye gari na kuondoka kwa kasi. Mimi nilikuwa chini,” alisema Hilali ambeya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alipotembelea majeruhi Hospitalini hapo.

Mbowe: Tunawajua WatuhumiwaMbowe amedai kuwa wameagundua watu waliohusika na urushaji wa mabomu katika viwanja vya Soweto Juni 15, mwaka huu na kusababisha vifo vya watu watatu na majeruhi 60.Akizungumza jana baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Seliani, Mbowe alisema CHADEMA tayari imeajua wahusika wakuu wa mabomu hayo kwa ushahidi wa picha.

Alidai kuwa ni askari mmoja wa Kikosi cha Polisi wa Kuzuia Fujo (FFU).Alidai kuwa ushahidi huo unaonyesha kuwa wakati askari huyo akirusha bomu, alikuwa na kofia inayofanana na ile inayotumiwa na Polisi na mara baada ya kurusha bomu na risasi za mfululizo alikimbilia kwenye gari aina ya Land Cruiser na kusindikizwa na Polisi.“Duniani hakuna siri yoyote ile. Tumeshafanikiwa kugundua chanzo kikubwa na ushahidi unaonyesha wahiskia ni polisi.

Ushahidi huu tutauweka hadharani na kila mwanadamu aweze kujionea kwa kuwa waliokufa hawana hatia yoyote na sisi tumechoka kil siku kuonewa na Polisi.” Alisema

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,033
Likes
10,398
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,033 10,398 280
Aliyerusha ni polisi kwa maagizo ya Mwigulu Nchemba ndo maana hata hospitali hajaonekana(crime consciousness)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
naluhwa

naluhwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Messages
217
Likes
0
Points
0
naluhwa

naluhwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2013
217 0 0
mmh polisi sasa mmezid.mnaipeleka wap nchi hii?
 
KALYOVATIPI

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,418
Likes
15
Points
0
KALYOVATIPI

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,418 15 0
imeshasemekana mwaka huu lazma kiongozi mmoja wa cdm afe ili kuweka mambo ya ccm vzr
 
KALYOVATIPI

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,418
Likes
15
Points
0
KALYOVATIPI

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,418 15 0
na walisema kwa gharama yeyote ile
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Ni dhahiri,ukweli ndio huo,serikali haiwezi kujinasua kwa hili
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Hatuhitaji kuwa wapiga ramli ili kuujua ukweli, mtu maalum tena anayehusika na masuala ya kiusalama ndiye aliyerusha bomu kwa maagizo ya viongozi wa juu wa CCM. Katika harakati za kufuta ushahidi wa waliyomwona aliyerusha bomu, polisi walikuwa waliwapiga risasi waliomwona mhusika kabla ya kuingia kwenye gari baada ya kutekeleza mission hiyo haramu. Mungu si gamba, hatimaye hawakufanikiwa kumuua kila shuhuda.
 
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
1,826
Likes
113
Points
160
Age
62
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
1,826 113 160
Inawezekana kabisa hawa polisi wanaoua na kujeruhi wananchi kwa kutekeleza matakwa ya chama tawala wasiuawe wala kuteswa na wanadamu kama malipizi ya haya madhambi wanayotenda. Ila wajue kuwa mkono wa mungu utakuwa juu yao, visasi daima ni vya mungu. Amini wasiamini iko siku wengine watajitaja wenyewe hadharani kuwa ndio waliotumika kufanya maovu haya, one day will come
 
dubu

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Messages
3,231
Likes
1,097
Points
280
dubu

dubu

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2011
3,231 1,097 280
mwema anadhani yeye ndye kila kitu.amelewa na cheo chake ameligeuza jeshi la police kuwa ccm
 
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
1,071
Likes
155
Points
160
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2012
1,071 155 160
siku znahesabika i've nothng to ad
 
M

Manmura

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
747
Likes
96
Points
45
Age
29
M

Manmura

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
747 96 45
Polisi ni TAWI la CCM
hakuna cha utawi hapo maisha yao magumu zaid ya mwamba sema tu hawajitambui wanadhani dunia kazi ni upolice tu so bila kutii amri za kijinga kutoka kwa wajinga hao hawana ajira.... Shame on them. Ma rpc wengi nao elimu zero kichwan hakuna lolote wenyewe wanahisi kuua ndo kulinda usalama wa raia!! Shame on them again
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
16,607
Likes
9,421
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
16,607 9,421 280
mwema anadhani yeye ndye kila kitu.amelewa na cheo chake ameligeuza jeshi la police kuwa ccm
Mimi natoa mwito,tuanze kujihami kwa kuwashughulikia makamanda wa polisi wa ngazi zote,popote itakapopatikana fursa wafanyiwe kitu mbaya,ikibidi hata wanafamilia wao ili nao wapate uchungu wa kuuliwa wapendwa wao vinginevyo watatumaliza hawa washenzi.
 
LUKAZA

LUKAZA

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
137
Likes
55
Points
45
LUKAZA

LUKAZA

Senior Member
Joined Nov 30, 2010
137 55 45
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion
 
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,346
Likes
61
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,346 61 0
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion
wewe unaishi wapi?
 
tofali

tofali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
3,996
Likes
2,146
Points
280
Age
34
tofali

tofali

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
3,996 2,146 280
Mimi natoa mwito,tuanze kujihami kwa kuwashughulikia makamanda wa polisi wa ngazi zote,popote itakapopatikana fursa wafanyiwe kitu mbaya,ikibidi hata wanafamilia wao ili nao wapate uchungu wa kuuliwa wapendwa wao vinginevyo watatumaliza hawa washenzi.
Haswaaa
 

Forum statistics

Threads 1,275,076
Members 490,894
Posts 30,532,146