Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuona response ya ccm baada ya Polic kuwahoji Lema na Mbowe, This is my take; Inaonekana waliwatumia Polic kutaka kujua kama kweli cdm wana huo mkanda au vipi ndipo wapange next move...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kawaida tunaweza kuilaumu sana ccm kwa maana ya viongozi wa chama na serikali ya ccm, lakini mimi nimekuja na mtazamo tofauti, sitailaumu tena ccm ntawalaumu watanzania wanaoendelea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka tukiwa shuleni tulifundishwa imani ya Chama cha TANU nk. Jambo ambalo halijanitoka akilini hadi leo, japo miaka mingi imepita, ni yale maneno tuliyosema; Imani ya Chama Cha TANU ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia siasa za dunia na hasa kutoka Afrika, lakini kuna kitu ambacho katika siku za hivi karibuni kimeanza kuniboa na kunifanya nifikirie mara mbili kuhusu hizi siasa. Watawala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
......"kama tuna matatizo makubwa ya nchi ni vizuri tukubali kwamba tuna matatizo makubwa ya nchi, halafu tunayazungumza katika ukubwa wake: Utamaduni, ambao ninauona sasa, wa kuficha matatizo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ngojeni niwasimulieni kisa kimoja kilichowahi kutokea katika kimoja miaka kadhaa iliyopita. Jamii/Kijiji hicho kiliishi watu waliokuwa wahalifu sana. Kwao wizi, Unyang'anyi, Ubakaji, Utapeli...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Spika Wa Bunge Mama Anna Makinda akihitimisha kikao cha leo cha Bunge ametangaza kuwa kesho 21.06.2013 baada ya kipindi cha maswali na majibu Bunge litaangusha sherehe kubwa sana ya kumpongeza Mh...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hatimaye Amevunja ukimya! Jenerali David Sejusa, aliyekuwa mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini Uganda, amezungumza na BBC kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalum tangu atoke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akizungumza VoA muda mfupi anadai hajawaagiza chadema kupeleka ushahidi wao kwa Rais bali ni ushauri tu huku akijikanyanga kuwa kabla ya siku moja aliongea na mh Lema na kumwambia kuwa anaushahidi...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Kwanza kabisa mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Nimewahi kuwa mwanachama wa CCM kwa mwaka mmoja baada ya kulazimishwa kupewa kadi ya cha enzi zile za CCM. Kwa hiyo ufuatiliji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF, naomba kuelimishwa umuhimu, kazi na maana ya hotuba za kambi rasmi ya upinzani. Kila baada ya waziri husika kusoma hotuba/bajeti ya wizara yake, waziri KIVULI naye husoma hotuba yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa akishirikiana na Kamishna wa Elimu mama Balusesa wanahaha kutaka kulishinikiza Baraza lichakachue matokeo kwa kutumia kivuli cha...
23 Reactions
88 Replies
10K Views
Napata shida kidogo kama mtendaji mkuu wa chama yuko ziarani huku chama kipo katika wakati mgumu je halikua jambo la busara la kusitisha ziara kutokana na emergence kubwa ilotokea nyumbani.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Akiwa ana changia, Mhe Kigwangala ambae ni mbunge wa jimbo la Nzega amemtaka Mbowe kuacha kuongea kauli tata kwani yeye ni kiongozi na maneno ya viongozi ni yenye kuaminiwa na watu. Kwa mantiki...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Leo asubuhi kupitia Radio One, kamanda wa Upelelezi Chagonja amethibitisha Kauli ya Mbowe kuwa ni kweli tukio la mlipuko wa Arusha lilihusisha silaha tatu tofauti, yaani BOMU, BASTOLA na...
7 Reactions
130 Replies
11K Views
  • Closed
Ismail Jussa about an hour ago Very interesting leo Mhe. Omar Yussuf Mzee alipokuwa akifanya majumuisho ya mjadala wa bajeti ya SMZ (wind-up of the budget speech) aliamua kuzinyamazia kimya na...
2 Reactions
79 Replies
7K Views
Yupo Star tv kwenye kipindi cha Tuongee asubuhi,amesema hali ya kutoweka kwa amani inayojitokeza hapa nchini chanzo chake kikubwa ni viongozi wa sasa kuamini kuwa nafasi wanazo ziomba sio tena...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Kwa ufupi.... CCM watafakari sana hatima yao.... Kwanza tukio la Arusha sijui imewafunza nini... lakini mi naona la kwanza kuwa walikosea mahesabu... kama walimtumia aliyerusha bomu na risasi ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahama ya kimataifa ya ICC imeahirisha siku ya kuanza kusikilizwa kwa kesi dhidi ya rais Uhuru Kenyatta hadi tarehe 12 mwezi Novemba mwaka huu. Hii ni kufuatia ombi la mawakili wa Rais Kenyatta...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania is a test case for the G8's food security alliance. But will the millions invested by agribusiness really support independent farmers and their need for tenure? Jessica Hatcher in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom