Tanganyika: Yes we Can

Tanganyika: Yes we Can

mceddy

Senior Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
106
Reaction score
10
Hivi ndugu zangu wa tanganyika enough is enough mpaka lini tutaendelea kunyanyasika na hii serikali ya ccm? Nadhani wakati umefika inabidi tuamke nasisitiza kuamke ndugu zangu tuweke uoga pembeni na kusimama kulipigania taifa letu kwajili ya watoto wetu badae. Kila kukicha serikali ya ccm imekuwa niya maneno maneno tu utekelezaji umekuwa ni waku chukuwa chako mapema ule na familia yako je hao ambao hawana hizo post wachukue nini? Mpaka lini tutaendelea kunyonywa? Mpaka lini tutakuwa gizani? Mabomu arusha yana rushwa kiolela watu wana kufa kila kukicha. Sidhani kama ntakuwa nimekosea sana nikisema tutumie kauli mbiu ya Arusha Uoga nidhambi kubwa saaana. Inabidi mikoa yote makamanda wote wasimama tungane mikono nakusema kwa pamoja ccm baaaaaasi!!!! Labda kwa njia hiyo kitaeleweka hayo ni maoni yangu please tuchangie zaidi makamanda tujue nini chakufanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom