mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
nAWAOMBA WABUNGE WA CHADEMA WATAKAPORUDI BUNGENI BAADA YA KUWAZIKA WAPENDWA WETU, WAWASHE MOTo mkali bungeni hata ikibdid bunge liishe kabla ya muda wake. Haiwezekani watu wanatuua halafu hawa mapolisi badala ya kuwatafuta wauaji wanahangaika na viongozi wa chadema. si waliolipua bomu watapata mwanya wa kukimbia? Upuuzi gani huu? . Wasaha moto mkali hakuna kuwaogopa hawa manyangau. Nina hasira sana hapa nilipo. Natafuta mahali pa kuzipunguzia. kwa nini tunyanyaswe namna hii tuendelee kuwachekea hawa wapuuzi? Let this be the first and last incident against chadema. Toeni ultimatum.