Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh.Peter msigwa,najua unaweza kuwa na akaunt humu,kama hauna, basi hata rafiki zako wa karibu wanaweza kusoma ombi langu na kulifikisha kwako. Si lingine,bali ni ombi la wewe kama mbunge wetu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sababu nyingine kubwa inayowafanya watanzania waendelee kuiamini serikali ya JK ni ukweli kwamba Tanzania ni miongoni mwa mataifa manne barani Afrika ambayo uchumi wao unakua kwa kasi,unajua hv...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Siku hizi za karibuni tumesikia matamko na kauli mbalimbali za viongozi kutoka serikalini, wote wakiwapa ruhusa na amri pia juu ya kupiga na hata kuua raia. Nawasihi changanyeni akili kwa...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Kwa mtazamo wangu, sababu pekee kubwa ya watawala kufanya, hivi sasa, kila wawezalo kuhakikisha chama Cha Upinzani kisikamate dola mwaka 2015 ikiwa ni pamoja na kukisingizia masuala haya ya...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kumekuwa na maandamano makubwa ya raia nchini Brazil kupinga kupanda kwa gharama za maisha hasa kupanda kwa gharama za usafiri na mahitaji mengine. Maandamano hayo yamemfanya rais wa nchi hiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa...
11 Reactions
458 Replies
33K Views
Bila kuficha kuonesha hisia zangu za kisiasa, ni ukweli usiopingika kuwa CDM kwa sasa ina nguvu kubwa sana hapa nchini. Endapo chaguzi zitafanyika kwa mazingira ya haki na usawa sioni chama...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Msigwa simama imara! Ingawa mjadala wa Kesi ya Kinana na Msigwa hapa JF ni contempt of court....niseme haya 1. Kwamba uzi wowote unaozusha mjadala huu unaweza kuwa 'dry run' kutafuta mawazo ya...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
sababu nyingine kubwa inayowafanya watanzania waendelee kuiamini serikali ya JK ni ukweli kwamba Tanzania ni miongoni mwa mataifa manne barani Afrika ambayo uchumi wao unakua kwa kasi,unajua hv...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NImeshindwa kabisa kuwaelewa CCM kutokana na yale yaliyosemwa juu ya Sitta katika sherehe waliyofanyia hivi karibuni. Angalia kwa mfano kile kilichosemwa na Makinda na Pinda juu ya uwezo wa Sitta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inabidi niandike hivyo huenda mtasoma haya machache kwa umakini fulani. Sasa hivi mmebadilika hata maana ya nembo yenu kwamba nyie mnalinda usalama wa raia siyo hivyo tena bali mnanyanyasa raia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
*Ni watuhumiwa wa tindikali Igunga 2011 *Waachiwa na kukamatwa, wapelekwa Tabora MAKADA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana walipandishwa kizimbani katika mahakama ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Closed
niliwaletea thread kuhusu siri iliyovuja wizaran katka jeshi la Polisi. habari nyeti zingne kuhusu kesi ya Henry Kileo ni kuwa, wameandaliwa mashahd 4 wanaojfanya ni wa CDM na walikuwa kambin...
21 Reactions
238 Replies
21K Views
  • Closed
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Uenezi, John Mnyika KWA UFUPI Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Uenezi, John Mnyika alisema mikakati hiyo imesababisha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba, chama ambacho ndicho serikali yake inaongoza nchi kimekuwa msitari wa mbele kukumbatia wahalifu na wavunja sheria za nchi. Tukumbuke kwamba Aden Rage...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Iwapo Chadema itashindwa uchaguzi Mkuu 2015 maisha yataendela kama kawaida,hakuna kiongozi au Mwanachama yeyote wa Chama atakaye chukua hatua za kujiondoa uhai, Chadema tumeshakubalika na...
4 Reactions
103 Replies
7K Views
Uhuru Kenyatta calls for common East African Community Tourist VisaBy In2EastAfrica Reporter KAMPALA, UGANDA: President Uhuru Kenyattahas said East African Community ( EAC) member states need...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Jana akitokea BK alipita hapa Biharamlo, alianza kuiponda CHADEMA na kusema CHADEMA wamejiripua Arusha,walikosea kuchagua CHADEMA,ndipo zomeazomea ilipoanza kwa kijana moja aitwae Emmanuel.S.Komba...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Eti inasemekana chadema hawatashriki uchaguzi wa madiwani Arusha,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"HATUWEZI kuwa na Marekani tunayoitaka hadi tutakapochagua viongozi ambao wako tayari kutueleza ukweli. Si mara kwa mara; bali kila siku. Viongozi ambao hawasahau kile ambacho hawataki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom