Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

sasa imekuwa ni kama wamepanga,hakuna kiongozi yeyote wa CCM wala serikali anayeelekea kuumizwa na mauaji ya watoto wadogo wa madarasa huko arusha wala mwanamama mjamzito kule mtwara...
1 Reactions
2 Replies
970 Views
Tangia kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania kumekuwepo na vyama vya upinzani amvavyo vimekua vikiipa CCM changamoto na wakati mgumu kisiasa! Kuanzia miaka ya 1995 hadi 2005 CDM hakikua...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Vijana wa chadema wamejipanga kulinda kura zao kwa gharama ya damu zao kuliko kuibiwa kura hata moja siku ya jpili tar 30/6/2013 vijana wameamua kulinda kura watu wote mjitokeze bila hofu kupiga...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa vyama hivi viwil kwa maneno na matendo yao vinaonesha muelekeo usioeleweka, na mara nying kama wanatafuta sana kusifiwa na watawala, sijaelewa bado kuna nini hasa CUF na NCCR...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akihitimisha hoja zake katika kipindi cha this week in perspective kinachoongozwa na Adam Simbeye (TBC) leo usiku saa 4 tarehe 14/06/2013, Prof. Safari amesema kuna mambo mawili yanayosababisha...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Urambo mashariki kumekucha chini ya kamanda Paul Andrew Maganga, kesho tunaunguruma viwanja vya tarafani, hata ccm wakipiga mabomu haturudi nyuma.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya ndo mweshimiwa aliruhusu vijana wake wafanyie watanzania wapenda mabadiliko. Poleni sana kwa mnaoumizwa na ukatili wa kutisha huuu
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Licha ya kanuni za Bunge kuruhusu vazi la safari suti yenye mshono kama kombati zinazovaliwa na baadhi ya wabunge wa CHADEMA, kwa mara ya kwanza Kiongozi wa Upinzani, Freeman Mbowe na wenzake...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
The Merriam Webster Dictionary defines conspiring as joining in a secret agreement to do unlawful or wrongful act or an act which becomes unlawful as a result of the secret agreement. Recently...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Ni wakati muafaka sasa, mwenye nia nzuri na hii nchi, mwenye kutaka kufichua udhalimu, mwenye malalamiko, mwenye kuchukia ufisadi, Mungu atupe nini?? Iambie dunia ijue, waeleze bila uoga, ukikosa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hofu imetanda katika kata ya Kiwira wilayani Rungwe mkoani Mbeya kufuatia kukamatwa kwa diwani. Kuna gari za polisi kutoka makao makuu ya wilaya ya Rungwe-Tukuyu zinazunguka zunguka mitaa ya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hili limetokana na ukweli kwamba vurugu zote za kisiasa zinazo tokea sehemu mbalimbali nchini ni kutokana na amri inayo tolewa na wakuu wa mikoa na wilaya kwa wakuu wa polisi mkoa na wilaya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Wanaukumbi, Leo mchana nilikuwa airport kumpokea mgeni wangu wakati nasubiri ndege yake ifike Qatar, mara kidogo nikasikia sauti ikitangaza kuwa Ethiopian Airlines inajiandaa kutua basi pale...
10 Reactions
227 Replies
17K Views
Ndugu wana jf na wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii. Napenda kutoa angalizo. Kwa kiasi kikubwa sana muungano umemomonyoka, na unazidi kuendelea kumomonyoka. Kufuatia rasimu mpya ya kaitba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Macho na Masikio ni juu ya Siasa zinazoendelea ambazo kumekuwa na kushutumiana upande wa chama Tawala na Chama cha Upinzani CHADEMA,Upande mmoja CCM hawataki kukubali kwamba hawakubaliki kama...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Napenda kuwajulisha wale wadau wote ambao walibahatika kuingia kwenye Mabaraza ya Katiba ya wilaya yanayosimamiwa na Serikali za Mitaa, waende kuchukua barua zao za uthibitisho na rasimu za katiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chadema na CCM mnaweza kuaribu sifa ya nchi kwa sababu ya siasa zenu. Kila siku mnaibua mambo mazito ambayo sijawai kusikia mfano kesi za Ugaidi , mabomu nk.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[FUNGUKAAAAAAA] Ukipewa fursa ya kukipa kadi nyekundu chama kimoja cha siasa nchini Tanzania utakipa chama gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF,naombeni leo tuli discuss hili kwa kina na ikiwezekana tupieni refences duniani kokote ilikowahi kutokea NAWAZA TU: Kama sera ya maraisi watatu itatekelezeka na ikIwa raisi mkuu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom