Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana-JF! Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Alipoondoka Rais wakapewa mamlaka hawa waganga wa kienyeji badala ya kukemea mashetani wamepagawa rudi utulize maruhani haya tunaogopa waathirika wakiokota mapanga hutatukuta salama!! Ukinikuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kinondoni Henry kileo ameunganishwa katika kesi ya kigaidi iliyofunguliwa katika mahakama ya hakimumkazi mkoa wa Tabora. Kilewo ameunganishwa na washitakiwa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa mlolongo wa matukio yanayoendelea kwenye taifa la sasa ni dhahiri kuna udhaifu mkubwa kwenye serikali maana chochote wanachosema hawaaminiki tena, Raisi haonekani kuonyesha msimamo thabiti...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Mheshimiwa anamwaga sera kuhus vyama vya siasa tz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Polisi wengi wanaofanya kazi Arusha pamoja na Traffic wamesikitika sana na wanatengwa na jamii. Wengi wa Polisi wemepanga mitaani, wanaenda bar za mitaani, wamejenga pia.. Sasa kitendo cha...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Japo mtu anaweza kushangaa lakini picha za video nilizoziona ITV kwenye Taarifa ya Habari leo, nimeona akina mama wengi wakitokwa na machozi na kila mtu akitoa kilio Chake kwa Mungu ili aiepushe...
13 Reactions
48 Replies
5K Views
Magamba wameanza kupotosha kuhusiana na uchaguzi wa kata arusha kwamba umeairishwa uo Ni Uongo na ni propaganda taarifa ni kwamba uchaguzi uko palepale tarehe 30 msidanganyike wakazi wa arusha
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepokea taarifa kutoka Tabora sasa hiv kuwa Henry Kileo na wengine watuhumiwa wa ugaidi wapo mbion kuachiwa huru leo hii mjin Tabora. Tetes zinasema imetoka amri kutoka juu serikalini kuwa kesi...
10 Reactions
58 Replies
5K Views
Kesho ni zamu ya Mchungaji Msigwa kukamatwa na Polisi kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za uchochezi
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Mwaka juzi walisema Trilioni kumi na mbili sawa na barabara za Lami kilometa 1,700,000 Mwaka jana walisema Trilioni kumi na tano sawa na barabara za Lami kilometa 1,500,000 Mwaka huu tumesema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfumo wa vyama vingi ulipoanza hapo mwaka 1992, vyama vya upinzani vilikuwa vikitumia matusi katika mikutano yake ya hadhra, wafuasi wao walikuwa watu wa vurugu na fujo dhidi ya CCM. Vyama vikubwa...
1 Reactions
2 Replies
982 Views
Naanza na nukuu ya MartinLutherking Jr alisema" a man who has not discovered something that he will die for,he is not fit to live" Naamini kabisa katika dunia hii kila mtu amezaliwa ili afe na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wawakilishi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar wamedai kufahamishwa mipaka ya Zanzibar kabla ya kujadili Rasimu (Source-ITV Taarifa ya Habari) My take: 1.Je kwa madai haya Wazanzibari WANAJIANDAA...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Baada ya kupata taarifa kuwa uchaguzi wa kata nne au tano za jijini Arusha umepigwa kalenda mpaka tarehe 14.07.2013 na ikumbukwe ulipigwa kalenda kutoka tarehe 16.6.2013 mpaka 30.06.2013...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Makachero wa Polisi walitanda kwenye mageti ya kutokea viwanja vya Bunge kwa lengo la kumkamata Sugu hii ni kutokana na kushindwa kumkamata akiwandani ya viwanja hivyo kutokana na kinga walionayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Jf, Kama mtakumbuka waziri mkuu juzi alitoa kauli ya serikali kuwa itagharamikia mazishi ya waliofariki katika milipuko ya mabomu na risasi Arusha. Taarifa iliyothibitishwa ni kwamba Ndugu...
43 Reactions
126 Replies
12K Views
Nimetoka ofisini kwa mkurugenzi Arusha amesema uchaguzi uko pale pale hizo ni propoganda. Uchaguzi wamadiwani Arusha upo palepale na hili nimethibitisha baada ya kuiona barua ya mkurugenzi wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo katika bunge wakati wa kupitisha bajeti ya mwaka ya serikali ambayo ndiyo inayotoa picha halisi ya maisha ya mwananchi kwa mwaka mzima,kumetokea vioja visivyoelezeka mjengoni humo.Kwa kawaida...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom