Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uchaguzi wa Udiwani ulikouwa umepangwa kufanyika tarehe 16/06/2013 ulivurugika Arusha mjini kwa kata 4 na hivo kupelekea Tume ya Uchaguzi Taifa kuahirisha baada ya mlipuko wa Bomu kwenye Mkutano...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
:director:Naona dalili njema sana! Nafurahi sana kuiona nchi yangu ikipitia kipindi hiki! Hivi sasa ni rahisi sana kumjua mtetea nchi na mla nchi ni nani! Ni rahisi sana kuwabaini wanaojifanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
THE NETHERLANDS - SafariBookings.com conducted an in-depth analysis of 3,061 reviews of safari tourists and acclaimed experts and concluded that both have voted Tanzania as the best safari country...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
WanaMwanza tulidhani tumepata wakombozi baada ya bwana masha kutuchefua kumbe ni full majanga! Masha alisababisha hadi diallo akaangushwa na bwana kiwia.Imedhihirika kuwa hawa majogori wenje na...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wana JF, Kwa heshima na taadhima nataka nizungumze machache kwenye uzi huu kuhusu chama Tawala CCM. Kwamba kwa matukio yanayojitokeza hapa nchini mpaka sasa yanaelekea kutishia AMANI,UPENDO na...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Bunge linapitisha bajeti ya mwaka huu kwa kuwakejeli wabunge wa CHADEMA ambao hawapo bungeni, kila linapoitwa jina la mbunge wa upinzani jibu linatoka MAANDAMANO, wakimaanisha CHADEMA KAZI YAO NI...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu, ni kuwa na jicho kengeza ndio waweza kusema Taifa letu ni salama kwa sasa. Yanayoendelea Nchini kwetu hasa vitendo vya jeshi la polisi mkoani Mtwara, Arusha na maeneo mengi ya Nchi ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
"Nimepata mshituko jamii forum wanasema nimetangaza nitawani ubunge ubungo? Dah AMA kweli watu wanaweza kukutungia! Nafikiri sijasema hivyo!" amendika Maulid Kittenge kupitia kwenye akaunti yake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna maneno ya chini chini yanasemwa kuhusu Urais wa Tanganyika endapo katiba mpya itapita ikiwa na muundo wa serikali 3, ya Tanzania, ya Zanzibar na ya Tanzania bara (ambapo maoni kwenye duru...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dodoma. Serikali imekiri kuwa Mbunge wa zamani wa Kwela, Dk Chrisant Mzindakaya anamiliki bwawa la maji linalotegemewa kama chanzo cha maji kwa wakazi wa vijiji mbalimbali vilivyopo katika Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akihutubia katika uwanja wa soko jipya umati wa watu wasio zidi 500 pamoja na kusomba watu kutoka kata zingine kwa gari la Adamu Mshomari, alianza kutunanga wakazi wa Biharamlo kwa kuichagua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nashuku Mungu kuanzia mwezi feb nilianzisha kampeni binafsi ya kuwafungua akili walio lala katika mauti CCM baadhi ya vijiji kila ninapo kuwa huko na na uzuri ni kwamba kwa kampeni zangu binafsi...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Colleagues, I am thinking of using this forum and other online fora to catalyse discussions on how we use our potentials to bring about change in our country. I need us to use the internet as an...
5 Reactions
96 Replies
7K Views
Jengo ambalo ni makao makuu ya ccm bado ni pango na sasa ndiyo wanawaza kujenga barabara kuelekea udom karibu na ofisi mpya ya CAG. Hivi haya si mambo ya ajabu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Ndg wana jf. Sijashikana shati wala mkono na mch msigwa kama ilivyoelezwa kwenye moja ya thread ya leo. Sijawahi kupigana tangu darasa la kwanza na sitarajii kupigana maishani mwangu. Hata...
3 Reactions
239 Replies
14K Views
Mbunge wa Karatu Israel Natse akiwa na mamia ya wananchi wa kata ya Bashanet wamemkata Waziri Mary Nagu akigawa rushwa usiku wa manane. Waziri huyo alikuwa akigawa rushwa huku akiwa amejifungia...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Dunia imesema Kenya na Uganda ni "Failed State" yaani ni nchi maskini wa kila kitu kuliko nchi zote Duniani ktk Nchi 178, yaani ni wa 170 kati ya hizo wakati Tanzania yetu pamoja na juhudi za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi nafikiri kama kuna jambo la maana ambalo Bw.Mbowe amepata kuongea na inabidi Serikali imsikilize na kutenda mara moja ni aliposema Serikali Ifute Mfumo wa Vyama Vingi, akiwa kama Mkuu wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwana-JF mwenzetu, MPadmire, ametoa maoni yake katika uzi wa MBOWE NA LEMA POPOTE WALIPO WAJISALIMISHE. Kwa maoni yangu hoja yake ni nzito sana kiasi kwamba ninafikiri inastahiki uzi wake pekee...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana-JF! Tunaposema hatuna imani na CHADEMA mjue tuna sababu, na hizo sababu ndio chanzo kwa CHADEMA kushindwa kwenye CHAGUZI kwa kuwa wananchi hawaridhishwi na utendaji kazi wa viongozi kwenye...
1 Reactions
79 Replies
5K Views
Back
Top Bottom