Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 409
Mh.Peter msigwa,najua unaweza kuwa na akaunt humu,kama hauna, basi hata rafiki zako wa karibu wanaweza kusoma ombi langu na kulifikisha kwako.
Si lingine,bali ni ombi la wewe kama mbunge wetu machachari,mpiganaji,nk.Tuhuma za kinana juu ya ujangili unaombwa umburuze mahakamani ili ukweli ujulikane,haiwezekani wanachama na wapenzi wa chadema kila tuhuma wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka. Kwa nini usifanye hivyo kwa kinana? Kama ni jangili ajulikane.
Alisema atakuburuza mahakamani,lakini naona siku zimeisha yuko kimya,hapa napata imani kuwa kinana ni jangili na ndio anamaliza tembo wetu.
Ninakuomba.