Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

King Cobra alizoa waraka wa ahatari wa kibaguzi akaubwaga humu ndani, pwaaa! akamsaidia mtikila kupromote hate. Sasa Rwanda wanadhani Tanzania kumezuka anti-Tutsi movement wakati ni kazi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
waziri mkuu mizengo pinda amesema uchunguzi wa awali wa bomu lililoripuka kwenye mkutano wa chadema juni 15 limetengenezwa China na ni la kijeshi,vyombo vya usalama vinaendelea na...
0 Reactions
164 Replies
12K Views
Wilfred Lwakatare Wasalaam waheshimiwa Wananchi,ndugu,jamaa na marafiki.Leo asubuhi,kesi yangu imeitwa katika mahakama ya mkazi Kisutu na kusikilizwa na Hakimu Mfawidhi Aloyce Katemana.Kesi...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
WATU watatu waliokuwa wakishikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za urushaji bomu katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa CHADEMA, Juni 15 eneo la Soweto wameachiwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
JUMANNE, JUNI 25, 2013 | Mtanzania | NA REVOCATUS MAKARANGA, DODOMA WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira, amekiri tatizo la rushwa ni kubwa serikalini hasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasomi wahoji, ni binafsi au msimamo wa serikali Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutaka polisi kuwapiga raia wasiotii amri halali ya jeshi hilo, sasa suala...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Awali ya yote naomba niwarudishe mwaka 2010 namna siasa chafu, kashfa, mabavu na fujo zilivyotawala katika uchaguzi. Lakini kubwa ni kusambazwa kwa nyaraka na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Vijana wengi walichomwa visu,kupigwa mawe,kuumizwa vibaya.Magari yetu yalichomwa moto,kuvunjwa vioo sengerema mjinh,tukaeni pamoja tusaidiane ili kujenga umoja.Leo Mawazo anakutana na...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa nchi za kiafrika chama tawala kamwe hakiko tayari kuachia madaraka kirahisi rahisi. Ni lazima wapinzani wapitie katika hatua za kuuwawa, kushtakiwa,kubambikwa kesi, kulipuliwa mabomu, na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kabla ya kukoswa kulipuliwa kwa bomu kule Arusha kulikuwa na mikakati mingi na mizuri ya kufanya mikutano mingi kwa kila siku kupitia kanda zilzoundwa, najua kwamba mpo katika taharuki kutokana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Wadau nimesikiliza clipp hiyo na kuona Mwigulu Nchemba ametupiwa shutuma kede kede na sijasikia hata moja ikijibiwa. Kwa kuwa Mwigulu ni member humu naomba atazame clipp hiyo kwa makini sana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kweli pinda kwa maagizo wa m/kiti wa ccm taifa, wamesema kazi ni kupiga tu na kuwaua sasa tumeona na tumejua maana ya kupiaga na kua kwamba walengwa hapa ni Viongzi wa CHADEMA na wafuasi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwenye Rasimu imependekezwa serikali ya Muungano iwe na mambo 5 tu kutoka 22! Ikumbukwe kwamba kero ya muungano za sasa zinaletwa na kuwepo mambo mengi ya Muungano. Kwa kuonoda mambo hayo 17...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Nimeshangazwa na kauli ya jeshi la polisi leo eti wataweka ulinzi wa kutosha akija Obama, mbona matatizo yanatokea mikutano ya Chadema wakati ya CCM shwari?? hii si inaonyesha kabisa kuwa wao...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Wakati waziri Hawa Ghasia akichangia hotuba ya wizara fedha wiki iliyopita alionyesha hisia zake kali jinsi ambavyo haupendi mkoa wa Kilimanjaro kisa eti CHADEMA wanafanya machafuko kwingine hasa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
KASI ya kuimarika na kushamiri kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kila kukicha kunakotokana na kukubalika kwake kwa wananchi, kumekuwa tishio kubwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Tafadhali sana naomba msiseme "Mna Mungu", maana najuwa hilo litakuwa jibu la awali kabisa. Pengine mtasema "Nguvu ya Umma",hilo ni sawa,lakini hadi usawa huu huo umma umesaidia kitu gani dhidi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Chama kilichokomaa kama CCM niaibu kutumia mbinu chafu ili kuendelea kuwa madalakani. Nijambo ambalo linaumiza vichwa vya watanzania wengi kuona mambo ambayo hayakutalajiwa kabisa katika taifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutokana na kiongozi wa CHADEMA Kileo aliyekamatwa na kupelekwa Tabora juzi , wale vijana wanne waliokuwa Igunga wamefikishwa mahakamani na kufutiwa kesi kwa Nolle na kukamatwa tena na sasa...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
Sun, Jun 23rd, 2013 Tanzania | Tanga region could join the oil and gas producers club should efforts to set up an exploration block in January next year strike any of the two resources...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom