Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
Msigwa simama imara!
Ingawa mjadala wa Kesi ya Kinana na Msigwa hapa JF ni contempt of court....niseme haya
1. Kwamba uzi wowote unaozusha mjadala huu unaweza kuwa 'dry run' kutafuta mawazo ya kumtoa mtu kwenye utata; yaani ni kumsaidia kinana kutoka kwenye kibano. Uzi unaweza kuanza kama "dry run." kutafuta njia za kukwepa tatizo. wanakusanya mawazo.... Msigwa usiteteleke....
2. As far as I am concerned, zipo adhabu kwa mtu au taasisi yoyote ambayo inatumiwa kama "accessory" katika kutenda kosa. Kosa limefanyika. Pembe haramu zimepatikana. Kwa hiyo kama Kinana ni mmiliki Mkuu wa kampuni iliyotenda kosa hilo la jinai, yeye ni accessory katika jinai hiyo. ana kesi ya kujibu.