Salamu wana JF,
Nimeamua kuleta uzi huu baada ya ombwe kubwa liligubika media mbalimbali weekend hii la SEMBE likihusisha watu wengi kutajwa na kuacha mshangao mkubwa ya kwamba idadi yao...
kwa wadau wote wa jf msaada tutani kwanza napenda ninukuu baadhi ya sehemu mbili ili nipatiwe ufumbuzi. kwenye rasimuu sehemu ya utangulizi para ya 6 nanukuu " na kwa kuendeleza, dhamira yetu hiyo...
Vyombo vya habari ni mhimili wa nne ambao si rasmi lakini ukiwa umebeba dhima kubwa ya kumulika kujenga na kuelimisha jamii.Mhimili huu ukitumika kwa maslahi ya umma utakuwa ni chachu kubwa ya...
AKIONGEA KWA UJASIRI akiwa ngara:ametoa wiki mbili kwa majambazi kusalimisha silaha na kujisalimisha. "NIMECHOKA"tutafanya operation kubwa ambayo haijawahi kutokea KAGERA,GEITA NA KIGOMA kwa...
Kitendo cha mtuhumiwa wa madawa ya kulevya kuendelea kuwa huru, Kama vile taifa hili halina vyombo vya ulinzi na usalama, najiuliza maswali mengi bila majibu. Pamoja na udhaifu wa raisi Kikwete...
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hakina ubavu wa kumkataa au kutomtambua John Tendwa kuwa ndiye msajili wa vyama vya siasa nchini.
Kauli...
Wakati kukionekana kuwapo kwa mvutano mkali kati ya Jeshi la Polisi nchini na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chama hicho kimesema kuwa hakitakubali kukaa kimya wakati baadhi ya...
Akiongea kwenye kikao au kongamano la viongozi kujadili mabadiliko lilioandaliwa na Uongozi Institute, Mama mongella amekiri kuwa siku zote wameshindwa kusema ukweli wote, hivyo ni vema sasa...
Uunganishaji Single face.
1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini
Effective from Jan 2013.
Mzee Reginald Mengi ame tweet mawazo yake juu ya Kauli ya Nape Nnauye ambae inadaiwa kasema waliopendekeza Serikali tatu ni wazee wanaosubiri kufa.
---------------------------
Habari Kamili...
Rais Kikwete ameigeuza Tanzania kuwa nchi ya Kisultani ambayo watoto wa wenye madaraka kuzidi kupewa nafasi kubwa katika serikali na Chama. Rais Kikwete ndiye kiongozi mkuu wa nchi, ila kila mtu...
Mon, Nov 21st, 2011
Mon, Nov 21st, 2011| Tanzania
Prof. Dani Wadada Nabudere
Prof. Dani Wadada Nabudere will always remain in the annals of East Africa as a great constitutional lawyer...
Kila mara huwa najiuliza swali hili la ni nani hasa anayeimiliki Benki Kuu ya Tanzania. Nani anayesimamia uchapishaji wa Noti na ni nani anayeamua ni kiasi gani cha pesa kizalishwe na kwa kigezo...
katika hali ambayo si ya kawaida kabisa baadhi vijana wamepandikizwa chuki za kila namna, katika pita pita yangu mtaani na kwenye mitandao, kuna baadhi ya vijana wamepandikizwa chuki dhidi ya...
• Alitoa kauli hiyo mbele ya DC, akaachwa
MEYA wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata, amefunguliwa jalada polisi akidaiwa kutishia kumuua mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia (CHADEMA), katika...
Ulafi na ufisadi wa serikali ya Kikwete sasa unaliingiza taifa katika mgogoro wa kidiplomasia. Juzi tumeionya serikali, leo serikali ya Marekani inatoa onyo kwa Kikwete. Sababu IRAN. Watueleze ni...
Inapendekezwa kuwa wale 'Vijana Wakakamavu Wajasiriamali wa CCM' almaarufu kama Green Guards wasivae tena sare zao zinazofanana na zile za Jeshi la Polisi. Mapendekezo hayo yanatoka katika Kitengo...
Hawa jamaa wanatutolea mikopo inayoinyonya nchi yetu. Wanatutengenezea vitu duni kama mabarabara, bidhaa feki na kuchochoea rushwa ndani ya nchi yetu. Sasa Rushwa walizotoa ndio chimbuko la Vurugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.