Kamanda Lema live Wasso loliondo.

Kamanda Lema live Wasso loliondo.

Thomas Sankra Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
418
Reaction score
128
Hali njema leo niko wilaya ya ngorongoro kamanda lema na makamanda wengine wanafundisha demokrasi ,mji bado lakini watavunwa wengi.
 
haya kila la heri, ...... ila simfagilii lema hata kidogo
 
Nitaendelea kutoa taarifa makamanda wezangu diwani mollel anatoa somo kwa wakazi wa wasso.laah
 
Hata kikwete na batida hawamfagilii kwa hiyo mko wengi msijali
 
Lema anatoa takwimu kuwa wamasai ni takribani 120000 na wakati watalii walioingia Ngorongoro creater ni zaidi ya la
Saba kila mwaka kama msongamano wa watu.unaharobu hifadhi je wazungu sio watu . Na kama ng,mbe wanaharibu mazingira mbona nyumbu na punda milia ni wengi mara mia ya ng,ombe walioko ngorongoro
 
Lema anadai wamasai wamekuwa treated kama wanyama na ndio maana nchi inajivunia uwepo wao wa kimila kama dhana ya maonyesho
 
Back
Top Bottom