Wasema wanaweza kumalizana bila rais kuhusika
na Mwandishi wetu
MADIWANI wanane wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Bukoba, wamemgeuka Rais Jakaya Kikwete, wakawasilisha...
MONDAY, JULY 29, 2013
Ndugu Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Napenda nichukue fursa hii kuwajulisha rasmi kwamba Nchi yetu imepata heshima ya kutembelewa na Waziri Mkuu wa Thailand ambaye...
Tume ya Uundwaji wa Katiba mpya nchini Tanzania inayoongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba imeshatoa Rasimu ya Katiba mpya.Ni Rasimu ya Kwanza. Bado Rasimu mbili.Moja itajadiliwa na kuidhinishwa na...
DIWANI mmoja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyekuwa anagombea umakamu mwenyekiti wa halmashauri ya Geita, aliomba kura kwa kunadi sera za Chama cha Mapinduzi(CCM), imefahamika...
Diwani mteule wa kata ya Themi Arusha Ndugu Melance Kinabo(KABURU) kupitia CHADEMA ameanza kazi zake rasmi kama diwani hili hali bado hajaapishwa.
Leo tarehe 29 - June 2013 mishale ya saa tisa...
Hivi kweli kwa mtindo huu wa kuwapokea na kuwashangilia viongozi kutoka mataifa mbalimbali hasa haya ya Magharibi ndo mwarobaini wa kuendelea?Leo alikuwa anakuja waziri mkuu wa Thailand hapa...
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mabatini kusini,Kata ya Mbugani,Wilaya ya Nyamagana anayetokana na ccm Bw.Yohana Mnono leo ametolewa jasho na CHADEMA.
Kisa hicho kimeanza juzi jioni wakati...
Kupitia taarifa ya habari ya ITV leo usiku,nimesikia mwenyekiti wa wazazi Tanzania Bw.Abdala Bulembo akiwahimiza wananchi wilayani Mbozi kupinga baadhi ya vifungu vilivyomo katika rasimu ya...
Chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA)Kanda ya kati inakusudia kufanya mikutano ya hadhara mkoani singida kuanzia tarehe 3 hadi 11 agoast mwaka huu,lengo kuu la mikutano hii nimuendelezo wa...
Monday, July 29, 2013
SAKATA LA MATUMIZI YA KEMIKALI MGODINI KATUMA
Posted by SUMIA
KIMEMO kilikutwa katika ofisi kikitoa maelekezo kampuni izuiliwe
Usingizi Ruksa...
KUTOKA BLOG YA ZITTO NA DEMOKRASIA, ILIWAHI KURIPOTIWA HIVI.
Tunaomba sasa wahusika hawa wawili waanze kushulikiwa kisawa sawa. usalama wa Taifa na serikali kwa ujumla itoe maelezo ya kina ni...
Wana jamvi,
Naomba kuwaeleza kwamba wilaya ya korogwe jinsi ilivyo hasa kimageuzi, kwanza stasheni za radio hapa ni TBC na redio mmoja ya huko muheza hakuna station nyingine halafu upande wa tv...
PINDA KUSHTAKIWA: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetangaza kumfungulia mashitaka waziri mkuu kwa kuvunja Katiba kutokana na kauli tata aliyotoa bungeni.
Kituo cha sheria na haki za...
Richmond aka Dowans aka Symbion aka Power Africa. - Dedicated to Mzee Mwanakijiji
From Ubungo to Africa
http://youtu.be/UPMFuTX_-L8
CC: Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete, Edward Lowassa...
Kama kuwekewa nguzo inachukuwa nusu mwaka , je huo umeme unaotaka kuuza nje ya nchi utaupeleka kwa Digitec ? This is toomuch bhana ! Hivi hakuna namna ya kuishindanisha TANESCO na wengine ili...
Mimi ni mmoja wa Watanzania ninayeamini kwamba Naibu katibu mkuu wa CUF ndugu Julius Mtatiro ana influence kubwa kisiasa tatizo hana jukwaa la kusimamia ndani ya chama dhaifu cha CUF japo simjui...
Vyombo vya habari ni mhimili wa nne ambao si rasmi lakini ukiwa umebeba dhima kubwa ya kumulika kujenga na kuelimisha jamii.Mhimili huu ukitumika kwa maslahi ya umma utakuwa ni chachu kubwa ya...
Leo ktk baadhi ya Magazeti,likiwemo Gazeti la "Fahamu" limemnukuu Msemaji wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu,Ndugu Salva Rweyemamu kuwa,waliojitokeza ktk vyombo vya habari na kulalamika kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.