Few things are easier than telling a lie, and few things are harder than spotting one when it is told to us. We have been trying to suss out liars ever since Cain fibbed to God about murdering...
Tokea kuzinduliwa kwa mchakato wa kujadili Rasimu mpya ya Katiba kupitia mabaraza, hoja kubwa inayochukuwa nafasi ni Muundo wa serikali. Hili linatokana na misimamo inayotolewa na vyama viwili...
Mbunge wa Mwibara, Mh. Kangi Lugola ametaka mkuu wa Tume ya kudhibiti madawa ya kulevya bwana Christopher Shekiondo awajibishwe kwa kushindwa kuwakamata vigogo wanaofanya biashara ya madawa ya...
Serikali yeyote duniani hutengeneza nchi na raia wanaofanana na asili ya serikali yenyewe. Serikali isiyo na nidhamu itatengeneza raia wasio na nidhamu. Na kinyume chake ni sahihi.
Kwahiyo...
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha baraza la katiba wilaya ya Singida wakinyanyua mikono juu kuomba nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu uboreshaji wa uundwaji wa katiba mpya. (Picha zote na Nathaniel...
Bukoba. Rais Jakaya Kikwete amewaagiza Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Balozi Khamis Kagasheki na Meya wa Manispaa hiyo, Anatory Aman kumaliza mara moja mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu...
Nimepita kwa kasi kidogo maeneo ya Tabata na nimekuta hawa watu wana mkutano hapa kwenye ukumbi wa Nyantare.
Kama sijamfananisha,naweza kusema nimemuona bwana Ramadhani Madabida ambaye ni...
Ni mhimu saana ndugu zangu kufahamu umuhimu na ubora wa amani na mshikamano wetu,hivyo nami leo naomba tujadili kwa kina nini kifanyike kudumisha, AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA LETU.
Kwangu...
Mimi ni mwanachama wa chadema katika jimbo mojawapo la mkoa wa dar.Niligombea nafasi mojawapo ya juu ndani ya chama lakini mizengwe ilitokea, na nikawa nafasi ya tatu.Ila nilichofanyiwa ndo...
Habari za siku ya leo wanajamvi....
Najua kuna wale watakaosema kuwa nimewaonea kuwekapicha leo Jumapili kwa kuwa pale Lumumba Computer Room pamefungwa hivyo hawawezi ku-access internet pia...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Muungano wa serikali mbili za sasa unatumia gharama kubwa kuliko serikali tatu zinazopendekezwa karika rasimu ya Katiba Mpya.
Kimesema hoja ya...
Midahalo ni standard on its own.Tasisi yoyote inayoshindwa jifua ktk eneo hili basi inakuw amfu ktk fikra na mahcguo ya wanajamii hiyo.Na maranyingi inakwenda mbalia zaidi hadi ktk taswira ya...
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakipingi kuwepo kwa kipengele cha maadili ya viongozi ndani ya Katiba Mpya na kwamba kinapendekeza itungwe sheria itakayosimamia kifungu hicho...
Habari wana JF
Nimejaribu kutafakari nakuona mwelekeo wa mchakato wa mabaraza ya katiba unaoendelea, kuna daili mbaya ambayo wananchi wengi wamepandikizwa hisia na maoni ya wanasiasa hali hali...
Leo ikiwa ni siku ambayo mchakato wa mabaraza ya kujadili Rasimu ya Katiba mpya unaendelea nchini, leo ni zamu ya Manispaa ya Bukoba ambapo kituo ni Rugambwa Sekondari.
Chakushangaza ni hali ya...
Habari zenu Wanajumuiya ya JF.
Baada ya salamu zangu kwenu ni swali ambalo huwa najiuliza kila siku je nikweli baada ya mapinduzi ya zanzibar ya 12 JAN 1964 na 26 April 1964 TUKAPATA...
Kazi kwako;
Wasomi waliosoma na kukombolewa ni msaada kwa taifa lolote duniani hata wabaya wa taifa huonekana wazi kitendo ambacho kwa akina mimi na ....! sio rahisi. Jionee yaliyojiri.
MDAHALO...
Kama mapendekezo yaliyomo kwenye Rasimu ya Katiba ya kutaka kuwa na bunge la Muungano na kila mkoa wa Tanzania kutoa wabunge wawili kwa uwiano wa mmoja mwanamke na mmoja Mwanaume yatapita, CHADEMA...
Kama barabara za mtaani achana ambazo ni za vumbi ...
Anayetakiwa kuzifatilia zinatengenezwa ni nani Mbunge au Diwani? Au ndio hawa wenyeviti wa mitaa wasiojua wanalofanya ?
Kamanda Heche, Mtatiro nk sasa wako live ITV...wait for updates...
Updates....
Ofisi ya msajiri wa siasa amekiri kuona katiba za vyama vya siasa zikiwa pia na vikundi vya ulinzi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.