Wachina Basi. Wanaivuruga Tanzania !

Wachina Basi. Wanaivuruga Tanzania !

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Hawa jamaa wanatutolea mikopo inayoinyonya nchi yetu. Wanatutengenezea vitu duni kama mabarabara, bidhaa feki na kuchochoea rushwa ndani ya nchi yetu. Sasa Rushwa walizotoa ndio chimbuko la Vurugu Mtwara.

Wachina wanapotoa msaada, mradi lazima usimamiwe na wachina, na ni hao hao ndio wanaoajiriwa.Wanataka ardhi yetu, madini yetu, mafuta yetu, gesi yetu. NO kwa mchina. Ni Bora serikali ya CCM ikajitafakari na Wachina. Ni Wezi wakubwa. Mchina ni mkoloni mamboleo.

When Britain left Tannganyika at Independence, Tanganyika economy was at par with Malaysia, and richer and more developed than South Korea or Singapore. It had a developed infrastructure, anvanced commercial agriculture, developed clean cities.

So what went wrong ?. LAND FRAGMENTATION, GROWTH OF SLUMS, CORRUPTION, UNEMPLOYED
POVERTY You name it...

Tell me one big successful project our government has ever done without being a way of syphoning money out, or individual self gain aka GRAND CORRUPTION? About China having achieved so much in Tanzania more than the west did,

WILL TELL YOU SOMETHING... China will always give where it is taking more. So brother the coming of china to Tanzania is bad News.
 
Baba Ritz alishawahonga uwekezaji wa kudumu kanda ya kusini ili wamwachie Ritz mwaka jana July alikamatwa na madawa ya kulevya. Kwa sheria za China alitakiwa anyongwe sasa Hu Je Ntao akahongwa miradi. Hivyo mtanyonywa mpaka mkome. Sasa hivi kila kitu kimeuzwa tumebaki sisi wenyewe kuuzwa.
Kazi kweli kweli
 
umechelewa mno mk were anamalizia biashara saa hii mnauzwa na nyie wananji
 
Dr. Slaa aliliongelea hili swala, Nape kwa makusudi au kutumika akawa vuvuzela! Akamdharau Dr. Slaa we, kweli huyu mtoto ni mwanaharamu
 
Kuna wanaodai hapa jamvini eti China is the right partner for Africa.......may be watakusikia
 
Kuna wanaodai hapa jamvini eti China is the right partner for Africa.......may be watakusikia
WACHINA NI WATU WATU WABAYA KULIKO HATA AL QAIDA NA GENGE LAKE/ KUMBUKA N HAWA HAWA WACHINA WAKATI WA UJAMAA NA KUJITEGEMEA NDIO WALIOLETA SERA ZOTE ZA KUTUFANYA MASIKINI NA KUHAKIKIKISHA TUNAZIFUATA. kufuta kiingereza mashuleni, kufuta hati miliki kwa wanamuziki, kufyanya vilabu vya soka visiwe vya kibiashara kama vilivyo sasa, kuhakikisha wachezaji wa soka hawakui kuwa proffessionals, kunyimwa passporti za kusafiria na kutukana mabepari katika vipindi vya mazungumzo naada ya habari.

wameanza kuingia africa baada ya marekani kuleta demokrasia na wanataka kutumia mwanya huo kutajirika wao kuliko marekani. unaona jinsi watu hawa walivyo mashetani ! wachinja ni manyonyaji mabaya saaana kuliko hata chunusi akimkamkamata binadamu!

nashangaa kwa nini sisi tunawakumbatia namna hii! nakuhalkikishia kuwa , matatitizo ya soka yaliopipata simba na yanga mwaka 1975 ni sera za kichina za kuzolotesha vilabu vya soka ili mambo ya kisiasa yaweze kujijjenga katika jamii kuliko soka .miaka ya 1970 wabunge wa wilaya za temeke , ialal na kinondoni walikuwa hawajulikani kabiaa majina yao. lakini baada ya kuvurugika kwa vilabu vya simba na yanga tuu, tukaanza kuwasikia akina hading'oka, matha weja na kitwana kondo.

china ni mashetani ya kisasa!
 
Kwa hapo Wachina hawahusiki na lolote maana ni kuwasingizia tu. Watanzania hata kutengeneza Choo cha shimo mpaka 1975 tulikuwa hatuwezi, leo wte mna simu za mikononi na baiskeli licha ya Bodaboda au gari, Tatizo yukiagiza kitu China unasema nitengenezee cha daraja la chini km Shati, Gauni Birika Pasi nk mbona Uganda na Kenya wanapelekewa na China tena daraja la kwanza (km viatu, nguo nk)

Kihistoria ungeanza na Vasco Mhispania Seyyid au Tip-Tip Wajerumani na Waingereza
ndio waliotuletea maendelea hata ya kuvaa nguo kwani Salim A. Salim alipofika Mtwara enzi za 1985 alikuta wakivaa sandarusi (mifuko ya mbolea) akaruhusu kuingizwa kwa Mitumba sasa mnataka maendeleo gani
hata china akitengeneza nguo za bei rahisi bada mnamnanga mnataka Kaniki za Urafiki alizotengeneza mchina enzi zile
Sasa ni nai kaua Ufi, Kiltex Urafiki ni MCHINA?
 
Hawa jamaa wanatutolea mikopo inayoinyonya nchi yetu. Wanatutengenezea vitu duni kama mabarabara, bidhaa feki na kuchochoea rushwa ndani ya nchi yetu. Sasa Rushwa walizotoa ndio chimbuko la Vurugu Mtwara.

Wachina wanapotoa msaada, mradi lazima usimamiwe na wachina, na ni hao hao ndio wanaoajiriwa.Wanataka ardhi yetu, madini yetu, mafuta yetu, gesi yetu. NO kwa mchina. Ni Bora serikali ya CCM ikajitafakari na Wachina. Ni Wezi wakubwa. Mchina ni mkoloni mamboleo.

Inawezekana kweli tatizo likawa ni mchina lakini sidhani kama mchina kakamata akili zetu na uwezo wote wa kufikiri na kufikia maamuzi ambayo ni ya faida kwa umma. Tunaweza kuimba wachina kwenye matatizo yetu kama akili, fikra na vichwa vyetu vitakuwa vya panzi kamwe hatutafika.
 
Hii Tanzania itajengwa na hela toka Exim Bank China pekeeee, jiulizeeeeeeeee
 
Kwa hiyo nani mzuri, Mmarekani? Kila mmoja ni mbakaji, tena wanatubaka bila kupanua miguu. Kaza buti Mtwara
 
Inawezekana kweli tatizo likawa ni mchina lakini sidhani kama mchina kakamata akili zetu na uwezo wote wa kufikiri na kufikia maamuzi ambayo ni ya faida kwa umma. Tunaweza kuimba wachina kwenye matatizo yetu kama akili, fikra na vichwa vyetu vitakuwa vya panzi kamwe hatutafika.

Nakuunga mkono, tatizo siyo mchina. tatizo ni viongozi wetu na mfumo wetu wa utawala unaowapa mamlaka ya kufanya chochote watakacho bila kujali sauti za wananchi. tunatakiwa kuvuruga huo mfumo na mtandao wake wote. anayeleta siasa za kubagua wachina anataka kupotosha vita iliyoanza ya kudai uhuru kamili. Wakati wa Ben, makaburu wa afrika kusini walijichukulia chochote wanachotaka mahali popote katika nchi hii.
 
wachina ni watu watu wabaya kuliko hata al qaida na genge lake/ kumbuka n hawa hawa wachina wakati wa ujamaa na kujitegemea ndio walioleta sera zote za kutufanya masikini na kuhakikikisha tunazifuata. Kufuta kiingereza mashuleni, kufuta hati miliki kwa wanamuziki, kufyanya vilabu vya soka visiwe vya kibiashara kama vilivyo sasa, kuhakikisha wachezaji wa soka hawakui kuwa proffessionals, kunyimwa passporti za kusafiria na kutukana mabepari katika vipindi vya mazungumzo naada ya habari.

Wameanza kuingia africa baada ya marekani kuleta demokrasia na wanataka kutumia mwanya huo kutajirika wao kuliko marekani. Unaona jinsi watu hawa walivyo mashetani ! Wachinja ni manyonyaji mabaya saaana kuliko hata chunusi akimkamkamata binadamu!

Nashangaa kwa nini sisi tunawakumbatia namna hii! Nakuhalkikishia kuwa , matatitizo ya soka yaliopipata simba na yanga mwaka 1975 ni sera za kichina za kuzolotesha vilabu vya soka ili mambo ya kisiasa yaweze kujijjenga katika jamii kuliko soka .miaka ya 1970 wabunge wa wilaya za temeke , ialal na kinondoni walikuwa hawajulikani kabiaa majina yao. Lakini baada ya kuvurugika kwa vilabu vya simba na yanga tuu, tukaanza kuwasikia akina hading'oka, matha weja na kitwana kondo.

China ni mashetani ya kisasa!

yaani we acha tu nakumbuka hata jack chain china ilivyoichukuwa hong kong to uk aliapa anahama hongkong lakini sisi tunawakaribisha hawa jamaa nihatari kwa mageuzi ya kiuchumi tulipofikia ilikuwa ni kujiimarisha kielimu ili tupambane na mikataba feki hebu ona walivyorudi wachina wamekazana kutufundishia askari wetu kupiga matofali na vichwa kumbuka sherehe ya miaka hamsini ya uhuru kwanini wastufundishe kupika whitedent zetu au hata kutengeneza batiki tu kama wanahuruma na sisi walichovuna tazara wakati wanapasua milima sasa wapo kwenye gesi hawa jamaa achaneni nao kabla hamjaishiwa.
 
mimi naona mleta uzi unge study hoja yako kwa undani zaidi kabla ya kuiletatahapa.
Hivi ni kweli kabisa kabisa unatuaminisha kuwa adui wa maendeleo ya watanzania ni wachina????
 
Wachina hawalipi kodi, wanatoa sana rushwa, wanaiba umeme, wanaiba maji ya DAWASCO na bado tunawaita eti wawekezaji. Wakulaumiwa ni viongozi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza, kazi imewashinda wamebaki kupiga Dili wao na familia zao
 
Kuna wanaodai hapa jamvini eti China is the right partner for Africa.......may be watakusikia
Is there a right partner for Africa? Who is that?

Whille West and US bring deaths, war, bombs, civil unrest and robe Africa,(Master and slave relation) China dumps cheap, sometimes fake items and build infrastucture which Africa badly needs, without interfering into internal politics. China does not do that for free, she needs what we have in abundance, raw materials.( win/win relation)

China is the the lesser evil, no doubt.

Africa can not continue relying on the West/US or China, we need to grow up and take responsibility to develop our nations.
 
Hivi ni waChina kweli hebu tuone:confused2::

Wale waliojenga bomba la kwanza la gesi toka Mtwara kwenda Dar na kuuza gesi yetu bila kutulipa ni waChina?
Wale waliotuachia mashimo baada ya kuchukua dhahabu yote bila kulipa kodi huko Tabora, Mara, Shinyanga ni waChina?
Wale wanaotuibia Tanzanite kule Mererani ni Wachina?
Wale wanaotuibia Almasi yetu kule Mwadui ni waChina
Richmond ni waChina?
Dowans ni waChina?
IPTL ni wachina?
Meremeta ni waChina?
Deep Green ni wachina?
Wale waliotuibia Twiga na digidigi hai ni waChina?
Wale wanaomiliki sehemu ya Serengeti na kuzuia wazawa kutia mguu huko ni waChina?
Wale waliotuibia na kuficha pesa yetu huko Uswis ni waChina?
.......
.......
.......
 
Back
Top Bottom