kamanda ndule
Member
- Jul 10, 2013
- 10
- 1
kwa wadau wote wa jf msaada tutani kwanza napenda ninukuu baadhi ya sehemu mbili ili nipatiwe ufumbuzi. kwenye rasimuu sehemu ya utangulizi para ya 6 nanukuu " na kwa kuendeleza, dhamira yetu hiyo muhimu🙁a) kulinda, kuimarisha na kudumisha muungano wa nchi za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na ukisoma Sura ya Sita Muundo wa Jamhuri ya Muungano
57 (1) Jamhuri ya Muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serekali tatu ambazo ni :
(@) Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania;
(b) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar; na
(c) Serikali ya Tanzania Bara
swali langu la kutaka kufahamu. je, Tanzania ni muungano wa nchi mbili kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ndipo tukapata Tanzania sasa kwa nini kipengele (c) kisisomeke Serekali ya Tanganyika na sio Serikali ya Tanzania Bara na kama linaogopwa kusemwa je kwa nini kwenye utangaulizi kunasomeka kudumisha muungano wa nchi za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ni saidieni hapo