Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jun 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ulafi na ufisadi wa serikali ya Kikwete sasa unaliingiza taifa katika mgogoro wa kidiplomasia. Juzi tumeionya serikali, leo serikali ya Marekani inatoa onyo kwa Kikwete. Sababu IRAN. Watueleze ni kitu gani viongozi wa IRAN wamekuwa wakifuata Tanzania ! Mwakyembe, Membe Rostam na Kikwete Kazi Kwenu


  Tanzania must stop re-flagging Iran tankers: U.S. lawmaker


  WASHINGTON | Fri Jun 29, 2012 1:39pm EDT (Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.

  Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.

  "This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research program and its support for international terrorism,"

  Berman said in a letter to President Jakaya Kikwete that was obtained by Reuters. Berman said if the tankers were allowed to continue sailing under the Tanzanian flag, Tanzania could face the sanctions that President Barack Obama signed into law.

  He said Congress would also have "no choice" but to consider whether to continue the range of bilateral U.S. programs with Tanzania.Officials at Tanzania's embassy were not immediately available to comment on Berman's letter.

  The sanctions, along with similar action by the European Union, are aimed at pressuring Iran to curb its nuclear program, which the West believes aims to develop nuclear weapons but which Tehran says is for peaceful purposes. The United States gave China a six-month reprieve from Iran financial sanctions on Thursday. The Obama administration has now spared all 20 of Iran's major oil buyers from its unilateral sanctions, rewarding them for cutting purchases of Iranian oil.

  Below are some of the Super-Tankers that have been renamed, and flying the Tanzanian Flag:

  Davar (previous name): Companion – Tanzania
  Haraz: Freedom – Tanzania
  Susangrid: Daisy – Tanzania

  Barua yao hii hapa:

  Dear President Kikwete,
  I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Iran's crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.

  It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania's international reputation.

  I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.

  It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord. However, your government should take note of President Obama's Executive Order 13608, signed May 1, 2012, which provides for the imposition of sanctions on any entity worldwide, including foreign governments, that assists Iran in evading U.S. sanctions. In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order. In addition, if Tanzania were to allow Iranian vessels to remain under Tanzanian registry, we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.

  Sincerely,

  Howard Berman
  Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee
   
 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Safari hii watanzania tumepatikana!! Lakini tuliyataka wenyewe. Hivi huyo Rostam na hizo biashara zake na Iran kwa nini atumie bendera ya Tanzania!!!?? Rais anawekwa mfukoni na mtu mmoja namna hiyo!!! Aaaa!!! Hadi nahisi kutapika!!
   
 3. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kama 75% ya Budget inategemea misaada kutoka Ulaya na Marekani,
  Kama Rais wetu kila siku ni kiguu na njia kuomba misaada.
  Ili kudumisha udhaifu huo ni lazima kutii amri ya Mabwana hawa.
  Hakuna msaad usio na masharti.

  Kwa upande mwingine
  Wasitishe tu hiyo misaada ili ukombozi uharakishwe.
  Misaada ikikoma serikali ya CCM itabaki uchi wa mnyama

   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nimechoka! leo nimepata fursa ya kuongea na senior intelligence officers wa serikali ya uingereza wanasema wanafuatilia hili sakata kwa ukaribu zaidi na wakijiridisha bila shaka Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi pamoja na kufuta misaada yote. Pia jamaa wamenitonya hapa Washington DC kuwa wanafuatilia kwa ukaribu suala la Dr . Ulimboka na kusema endapo akifa tu na chanzo kuwa ni mateso aliyoyapata kuna kitu kikubwa chaja (kwa sasa ibaki siri).Nilipojitambulisha natoka tanzania mmoja wao amenijibu . nanukuu

  "WE HATE CHAMA CHA MAPINDUZI"


  mwisho wa kunukuu
   
 5. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hili swala linatisha sana, kwa nchi yetu ilivyomasikini sidhani kama tuko tayari kupimana nguvu na hawa mabeberu. Tatizo sio misaada tu bali hata watu wa kufanya nao biashara.

  Kwa sasa ngoja niamini kuwa ni wafanyabiashara wahuni ndio wamefanya ujanja huu na serikali haihusiki, ila kama rushwa imefikia kuhatarisha usalama wa nchi kiasi hiki tuko kwenye matatizo makubwa sana.

  Nimewasikia hawajamaa wa Washington wakipiga makelele sana na wanataka kuhusisha swala nzima na kusaidia magaidi.

  Hapa tunahitaji busara na kiongozi mwenye dhamana na karama ya uongozi, sasa wajue wanapambana na watu wasiotaka longolongo na propaganda za kisiasa, wanataka majibu na matendo. Kama nchi tuwe waangalifu kauchumi ketu hakaeleweki tunajihami na wahuni.
   
 6. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Avoind politics when dealing with issues of national interest.
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  This is the most disgusting government and president we have ever had. Angekuwa rais mwingine angepitisha fimbo hadi kieleweke. Slaa au Nyerere angewachapa hawa watu viboko au kuwatia ndani, lakini hili zezeta atacheka tu nao hao mafisadi kama kawaida yake
   
 8. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Kwa kuwachokoza US na Washirika wake, sasa CCM wanaondoka madarakani mda si mrefu, Chadema jiandaeni kuchukua nchi wakati umewadia. Eeh Mungu watie kiburi Magamba wapuuze onyo la US na UK ili hatimae ukombozi uharakishwe.
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nchi hii ni kama haina kiongozi.
   
 10. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wacha watuwekee vikwazo ili tupate akili. Nchi yetu ina kila kitu ,lakini bado tuna omba omba kama matonya.
   
 11. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  huyu mtu hovyo kweli. sijui mwaka huu kichwa chake atakificha wapi. Kila siku marekani, marekani, sasa aibu hiyo inamkuta. ***** kweli... hata na mimi mwanamke ntamuita dhaifu.. Dhaifuuuuuuuuu.... mfyuuuuuuuu
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Alama za nyakati ziikifika kila milango ya kuzimu itafunguka na wana wa tanzania watakuwa huru
   
 13. y

  ycam JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 180
  Tanzania tunapaswa kuwa na uhuru wa kuamua ni nchi gani tunashirikiana nayo kidiplomasia, kiuchumi n.k. Lakini kimsingi uhuru huo hatuna kwa sasa kwani nchi tajiri na wahisani wanatuamria nani tushirikieane naye na nani tufarakane naye kwa kigezo cha utegemezi wetu kwao. Tunahitaji mabadiliko katika dira ya uongozi ili tuwe nchi yenye uhuru kamili.
   
 14. n

  ngokowalwa Senior Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Labda tutaimarisha mahusiano na Iran , Syria (wale wasioiva na west - Axis of evil)
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,449
  Likes Received: 81,506
  Trophy Points: 280
  Kikwete DHAIFU na Serikali yake DHAIFU wanastahili kuondoka madarakani si kwa kuwachokoza Marekani bali kwa kushindwa kuiongoza nchi na kuwaachia mafisadi wakiendelea kupeta huku maisha ya Watanzania walio wengi yakiendelea kuwa ya dhiki kubwa na ya kutisha.

   
 16. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Big like
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Let them Sanction Tanzania; By the Way Kikwete love to visit USA, he will pay for that...

  After all they are fighting in Zanzibar and they are the one who gave the Iranians Tanzania name so if we get

  Sanctions they will not send food to the island so they will face the rythm, and to the mainland we fight also

  so our Dhaifu Government will learn the lesson to work and resolved their citizen problems before it become a disease
   
 18. O

  Original JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania kama nchi ina haki ya kujichagulia marafiki na maadui. America na Ulaya hawana haki hata chembe ya kutuchagulia marafiki na maadui. Misaada wanayotupatia kamwe isiwe kigezo cha kututawala kwani tukiamua tunaweza kuishi bila kutegemea misaada yao. Tanzania ni taifa huru na hatufungamani na upande wowote. Mungu ibariki Tanzania.
   
 19. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,957
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ​Dah, mkuu mbona umechelewa sana!
   
 20. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,957
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mkuu, hakuna uhuru usiokuwa na mipaka, la sivyo inakuwa kero na vurugu tupu. Hatuwezi kuamua tu kushirikiana na magaidi eti kwa sababu tunataka kuwa na uhuru wa kuchagua nani tushirikiane naye. Iran wameshatamka hadharani kuwa wakipata silaha za nuklia watazitumia kuifuta Israel kwenye uso wa dunia; unataka tuendelee kushirikiana nao na kuwasaidia katika kufanikisha jambo hilo? Hata kama tungekuwa hatupati misaada ya west, bado tunapaswa kutumia akili katika kuchagua nani tushirikiane naye na nani tusishirikiane naye.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...