Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Rais Kikwete ameigeuza Tanzania kuwa nchi ya Kisultani ambayo watoto wa wenye madaraka kuzidi kupewa nafasi kubwa katika serikali na Chama. Rais Kikwete ndiye kiongozi mkuu wa nchi, ila kila mtu katika family yake ni kama Rais.
Mama Salma anapewa heshima kama Rais, na hata anakopita magari yote usimamishwa. Ridhiwani anafanya teuzi nyingi sana ndani ya serikali ambako marafiki zake upewa nafasi nyeti na kubwa.Ukimuudhi Ridhiwani utapata matatizo katika ndoa yako na hata ajira ipotee. Vile vile, kwa mara ya kwanza katiak historia ya Tanzania, Rais, Mkewe, na mwanaye wana nyadhifa za juu kwenye uongozi wa Chama
Watawala na familia zao wananeemeka chini ya Kikwete. Kwa mfano familia ya Kairuki. Mbelwa chini ya miaka mitatu ametoka kuwa mwandishi wa hotuba hadi ubalozi na ukurugenzi Mambo ya nje. ni wanagapi wako Foreign miaka zaidi ya 20 na bado hawajapata hata naibu ukurugenzi?
Mkewe Mbelwa Angela Kairuki kapewa ubunge na hatimaye kuteuliwa naibu waziri na mbunge. Mdogo wake Mbelwa ni mkurugenzi mkuu pale TIC. Ukienda BOT mambo siyo mambo. Watoto wa vigogo wako kila sehemu. Ukienda kwenye balozi zetu ni watoto wa wakubwa kwenye balozi hasa za ulaya. Huu ni mfano tu; Watoto Wa Vigogo BoT
Watoto wa wakulima tukilalamika tunaambiwa twende shule ili tupate nafasi kama hizo, jamani haki hiko wapi? Kama siyo usultani ni nini.
Mama Salma anapewa heshima kama Rais, na hata anakopita magari yote usimamishwa. Ridhiwani anafanya teuzi nyingi sana ndani ya serikali ambako marafiki zake upewa nafasi nyeti na kubwa.Ukimuudhi Ridhiwani utapata matatizo katika ndoa yako na hata ajira ipotee. Vile vile, kwa mara ya kwanza katiak historia ya Tanzania, Rais, Mkewe, na mwanaye wana nyadhifa za juu kwenye uongozi wa Chama
Watawala na familia zao wananeemeka chini ya Kikwete. Kwa mfano familia ya Kairuki. Mbelwa chini ya miaka mitatu ametoka kuwa mwandishi wa hotuba hadi ubalozi na ukurugenzi Mambo ya nje. ni wanagapi wako Foreign miaka zaidi ya 20 na bado hawajapata hata naibu ukurugenzi?
Mkewe Mbelwa Angela Kairuki kapewa ubunge na hatimaye kuteuliwa naibu waziri na mbunge. Mdogo wake Mbelwa ni mkurugenzi mkuu pale TIC. Ukienda BOT mambo siyo mambo. Watoto wa vigogo wako kila sehemu. Ukienda kwenye balozi zetu ni watoto wa wakubwa kwenye balozi hasa za ulaya. Huu ni mfano tu; Watoto Wa Vigogo BoT
1. 1. Salama Ali Hassan Mwinyi, 2. Filbert Tluway Sumaye, 3. Zaria Rashidi Kawawa, 4. Blasia William Mkapa, 5. Harriet Matern Lumbanga, 6. Pamela Edward Lowassa, 7. Rachel Muganda, 8. Salma Omar Mahita, 9. Justina Mungai, 10. Kenneth Nchimbi, 11. Violet Philemon Luhanjo, 12. Liku Kate Kamba, 13. Thomas Mongella na 14. Jabir Abdallah Kigoda. |