Punguzo gharama uunganishaji wa Umeme- Live From Bungeni

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Uunganishaji Single face.

1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini

Effective from Jan 2013.
 
Uunganishaji Single face.

1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini

Effective from Jan 2013.

kwenye hii ni mpaka January 2013 lakini ongezeko lakodi ni July 2012. lakini unajua sometime nikutokufikiria
hawaoni kua kama mtu alikua ana mpango wakuunganisha kipindi hiki haswa huko vijijini atasubiri mpaka mwakani ?
so mambi yote yatasimama na mapaifike hiyo tarehe walio taja subiri uone kwani 2013 ni mbali?
 
Uunganishaji Single face.

1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini

Effective from Jan 2013.

Hiyo nguzo ya laki 515,000 itapatikana? Manake unaweza kulipa ukaambiwa ku facilitate laki 2 kwa nguzo.
 
Hivi kama nguzo zinatoka Iringa ama Mbeya na anayeomba yuko Iringa ama Mbeya, bei ya nguzo ni ilele sawa na aliyeko Musoma? Kwa mtazamo wa kibiashara bei ya nguzo haiwezi kufanana coz item ya usafiri inaathari ya moja kwa moja kwenye bei ya bidhaa.
Kuna tetesi kuwa nguzo zinatoka Afrika Kusini, ni deal wa watu! TANESCO, kaazi kweli kweli!
 
Uunganishaji Single face.

1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini

Effective from Jan 2013.
Ungesaidia sana kama ungeweka na bei za zamani kabla ya kushuka!
Sisi wengine wake wetu hawajui bei za vitu kama hivi, inabidi umwambie kwa kumwonyesha maandishi.
 
Ok! Ciunganishi tena umeme kijijin hadi mwakani...... Asante kwa taarifa mkuu.
 
Ungesaidia sana kama ungeweka na bei za zamani kabla ya kushuka!
Sisi wengine wake wetu hawajui bei za vitu kama hivi, inabidi umwambie kwa kumwonyesha maandishi.

Mkuu bei ya zamani balaa mimi nilihitaji nguzo 3 wakakomba laki 6 kwanza hii nililiwa, kwenda kulipa TANESCO ni zaidi ya Milioni nne kwa kifupi acha tu. Ni wizi kila kitu unanunua kwa bei yao yaani hata kama kinapatikana dukani kwa bei ndogo wao wanakubambikizia bei ya kufa mtu. mfano screw (zile ndefu) moja tabata wanauza 2,500/ wao wana kupigia hesabu 5000/=, waya za kutoka nguzo ya karibu hadi kwako unauziwa pia. Waya wa kuingiza umeme kwenye mita wauziwa mita moja kama 15,000/= hivi, halafu ukishamaliza wanakulazimisha usaini kuwa vyote hivyo ni mali ya TANESCO!!!!!!!! (Hii ndo njia halali siyo ya kishoka). Halafu wanalalamika wanaibiwa umeme wakati wao ndo wezi wakubwa
 
Uunganishaji Single face.

1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini

Effective from Jan 2013.

Nini tofauti kati ya Vijijini na Mijini?
Effective from Jan 2013!!!!!!!!!!!!!!!!! Siasa Bana
 
Hivi kama nguzo zinatoka Iringa ama Mbeya na anayeomba yuko Iringa ama Mbeya, bei ya nguzo ni ilele sawa na aliyeko Musoma? Kwa mtazamo wa kibiashara bei ya nguzo haiwezi kufanana coz item ya usafiri inaathari ya moja kwa moja kwenye bei ya bidhaa.
Kuna tetesi kuwa nguzo zinatoka Afrika Kusini, ni deal wa watu! TANESCO, kaazi kweli kweli!
Nimekaa Mafinga kwa muda flani, nguzo moja kuvuna mpaka kuiandaa na kuiuza kwa Tanesco haizidi laki moja. Na nguzo zipo tele hazina soko, sasa haya ma-order ya South Africa ni ya nini kama sio deals, wizara hiyo hiyo imeamua kukiuka sheria ya PPRA kwenye ununuzi wa mafuta kwa ajili ya kupunguza gharama kwa nini wasipige marufuku manunuzi ya kutoka nje kwenye nguzo hizi?
 
wapunguze na ununuzi wa luku,nakereheka sana na gharama za malipo ya kila mwezi,sijui hizi gharama wasizitoe zanakeraje??????
 
Uunganishaji Single face.

1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini

Effective from Jan 2013.

Itasaidia kidogo, tatizo ni kwamba wana inflate cost kiasi kwamba wanaongeza uzito wa kupata huduma hii muhimu. Tshs 696,000 kwa nguzo mbili, zikiwa tatu, nne hatujui itakuwa kiasi gani, plus rushwa
 
Uunganishaji Single face.

1 Bila nguzo 177,000 vijijin. 320,000 Mjini
2.Nguzo moja 337,000 Vijijini 515,000 Mjini
3.Nguzo mbili 454,000 Vijijini 696,000 Mijini

Effective from Jan 2013.

Vichekesho katika siasa vingi kweli! Eti vijijini nguzo hazina gharama kama mjini. Eti effective January, 2013 wakati kodi inapanda effective 1st July, 2012. Na why ulipie nguzo ambayo kwa hakika si mali yako? Mwenye mali kwa nini asiilete mwenyewe?
 
Sijaona cha kufurahia hapo!
Tanesco wanatakiwa kuunganisha umeme kwa mteja anayehitaji bila kumwambia alipie nguzo!!!
Natamani tupate shirika lingine la umeme ili hili genge la mafisadi wajue maana ya huduma kwa mteja!
 
TANESCO ni janga lingine la kitaifa! infact KIKWETE NI JANGA KUU KULIKO YOTE YA TAIFA HILI KWA SASA! WE HATE U KIKWETE!
 
hapo kodi bado nia hatari sana
gharama ya zamani ni
single face 385,682
kodi18%= 69,423
ewura 3%= 11,570
Jumla ni tsh =============466,675 hivi

tuangalie hiyo 320,mijini itakuwaje na kodi na ewura?

single face 320,000
kodi18%= 57,600
ewura 3%= 9,600
Jumla ni ===============Tsh 387,200 bado hapa ni pa gumu sana kwa maisha ya sasa ukiangalia vitu vyao vyote wana sema ni mali yao
 
Back
Top Bottom