Wanajf,
Kwa karibu wiki sasa nimekuwa nikifuatilia sakata la Kunyanyaswa kwa wairaqw wenye asili ya Mbulu, Hanang, Karatu na Babati na jamii ya wamasai kutoka maeneo ya Arusha na kwingineko ambao...
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.
Katibu mkuu wa...
SAKATA la kodi ya simu ya Sh 1,000 kwa kila laini ya simu kwa mwezi, inayolipwa na watumiaji wa simu, litamalizwa bungeni kisheria. Waziri wa Fedha, William Mgimwa, amesema wameanza kutekeleza...
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amewasihi Watanzania wazuie katiba mpya isitoe rais dikteta na mwenye kutumia madaraka vibaya kwa kuinufaisha familia yake au jamaa walio karibu naye...
Mdahalo uliofanyika recently ulikuwa mzuri lakini hitilafu ya kumfanya
Waziri Nchimbi ndie mfungaji wa MDAHALO ilikuwa kubwa sana
Mengi aliyoyaongea Nchimbi yalistahili kujadiliwa
lakini kwa kuwa...
Wakuu,
Tutawaletea updates kuhusu chaguzi zitakazoanza katika kata za Elerai, Kaloleni, Kimandolu na Themi.
Bila kuweka ushabiki wa vyama, Jf Arusha tutawaletea kila kitakachokuwa kikijiri kwenye...
Ndugu wana jf nawasalimu. Kutokana na hali inayoendelea nchini ya mauwaji,manyanyaso na utekaji wa raia wasiokuwa na makosa yoyote zaidi ya kutofautiana nao kimtazamo,uelewa na ufundi wa kuchambua...
TUNASIKIA wakisema kwamba kina Nape Nnauye wameanza kupinga mfumo wa serikali tatu. Lakini sijaona hoja yoyote ya msingi. Sana sana nimeona kwenye mitandao ya kijamii kwamba Nape amefanya kufuru...
MH>MWIGULU LAMECK NCHEMBA AMVAA DR.SLAA NA CHADEMA YAKE,AMUSIHI DR.SLAA AREJEE KUCHUNGA KONDOO WA BWANA KWA SABABU MUNGU ANASEMA HATAKAMA DHAMBI ZAKO NI NYEKUNDU KAMA DAMU,ATAZITAKASA NA KUWA...
Nukuu by Mwananchi.co.tz , Jumanne,Julai 30, 2013
Chama cha mapinduzi katika jiji la Mbeya kimepata pigo baada ya kada wao maarufu , David Mwankina (70) kukibwaga chama hicho na kujiunga na...
CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaandaa utaratibu wa kufungua kesi mahakamani dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa watendaji wa chama...
Naibu waziri wa afya dr. Seifu amelalamikia uchukuaji wa sheria kuhusu kesi ya kiwanda kilichotengeneza dawa feki, ya kuwa kai ya wizara ni kudhibitisha kuwa dawa ni feki na kazi ilishafanyika...
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia matukio makubwa ya wizi, ujambazi na ujangili yakiwa yanawahusisha baadhi ya askari katika majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Matukio hayo yamesababisha...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza mikataba mingi ambayo Serikali hii ya Awamu ya Nne kupitia chama cha mapinduzi na Rais Kikwete imeingia na inaendelea kuingia na mataifa mbalimbali ya nje...
So strong, determined to soldier on kupambana na hila...
Wakielekea na kutoka chumba cha mahakama, pia wakili akizungumza na waandishi wa habari, baada ya shauri kortini.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tanga kimepata wanachama wapya zaidi ya 300.
Wanachama hao wamepatikana katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika wilaya za Handeni, Muheza...
Kuwa na serikali moja ni vizuri zaidi na jambo jema kuliko serikali mbili au tatu ikiwezekana nchi igawanywe kimajimbo na zanzibar iwe kama jimbo ikiwezekana na wawe na sheria zao za kijimbo na...
naomba ufafanuzi juu ya vyama vya siasa vya TANZANIA kuanzisha matawi ya vyama huko nje ya nchi kama marekani, uingereza n.k. Hasa ni kwaajili yanini na ikiwa wao hawana matawi huku kwetu?
Rais Jakaya Kikwete ameonya kuwa ushabiki wa baadhi ya viongozi wa dini kuingiza udini katika siasa na hasa kama jambo hilo litakubaliwa kuwa sehemu ya uendeshaji siasa za Tanzania, basi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.