KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha...
Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k...
Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu...
Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka...
Mnakumbuka MH Polepole ?.
Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli...
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!
Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake...
Mafia ni jina na genge la kihalifu lililoanzia Katika mji wa Sicily nchini Italy na baadhi kuhamia Marekani,likasambaa nchi jirani ya Marekani na Hadi likaingia katika nchi za Amerika ya...
Sikiliza we unae soma hapa, kama mama na Babako na Mama yako ni Kapuku, usiingie kwenye siasa na ukaleta mdomo na kiburi utapotezwa na hakuna wa kukutetea unaliwa kichwa mithili ya Pole pole, na...
Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani.
Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka...
Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu.
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM...
Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani...
Kufuatia kudundwa kwa askari wa barabarani ile jana, nimejikuta navuta kumbukumbu za tarehe 29 Oktoba 2026.
Kitendo cha huyo askari kudundwa kimenifurahisha sana!
Hawa ma askari wa barabarani...
By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe.
CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii...
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier...
Wanabodi,
Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu...
Mtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani.
Baadaye wataanza kulia ooohh mahakama, mahakama, mahakama.
Kama mahakama haina haki kwa wapinzani kwanini mlipeleka mawakili...
Namkumbusha Samia Suluhu Hassan Samia uache kiburi na majivuno ya madaraka ubaki kuwa mnyenyekevu kwa wananchi. Samia sikiliza wananchi.
Samia , jambo la Oktoba 29 litabaki kuwa kovu na doa...
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata...
Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.