Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,696
Reaction score
9,910
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
 
Chadema ni chama cha kifalme hadi wanachama wasioji mambo ya msingi?.

Mwenyekiti kuwa lupango siyo tiketi ya kuziba midomo wengine kuhoji mwenendo wa chama,hoja ijibiwe kwa hoja na si visingizio.
.mnakosa uadilifu kwa michango midogo itakuwaje mkishinda kuiongoza nchi.
Siasa na njaa hatma yake mbaya sana.
 
Kumshabulia Lema kwa kutoa shutuma dhidi ya matumizi mbaya ya rasilimali za chama kwenye mkutano halali wa chama ni kutomtendea haki.

Ni wajibu wa kila mwanachama kulinda na kutetea mali za chama husika na siyo cdm tu ni vyama vyote ipo hivyo.

Ingekuwa vibaya kama angetoka na kwenda kulisema nje kwenye vikao na wana habari.

Tuvute subira ili tuone nini kamati kuu itachukua hatua gani.
 
Porojo za mashoga na mapumbavu ya ccm yaliyoshikwa pabaya na chadema na bado mpaka mharishe utumbo, Heche na Lema shiria hapo hapo nguruwe mpaka wale mavi yao.
 
Chadema ni chama cha kifalme hadi wanachama wasioji mambo ya msingi?.

Mwenyekiti kuwa lupango siyo tiketi ya kuziba midomo wengine kuhoji mwenendo wa chama,hoja ijibiwe kwa hoja na si visingizio.
.mnakosa uadilifu kwa michango midogo itakuwaje mkishinda kuiongoza nchi.
Siasa na njaa hatma yake mbaya sana.
Wanachama wanahaki kabisa ya kuhoji.
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Hapo kuna namna sio bure!
 
CCM kweli mna hila, yaani Lema na Heche washambuliane, na kila siku wapo pamoja? Haya mambo kaandika sana Tlaatla na kapuuzwa na CDM inaendelea vizuri tu, acheni kuhalalisha upuuzi, upinzani lazima uwepo na ndiyo afya ya Nchi. Waacheni Lema na Heche wafanye kazi zao.

CCM ni chama kibaya sana hiki, hila tupu
 
Yaani hisia tu za wachache kwamba wanamashaka na usalama wa pesa na haohao na hapohapo wanatoa suluhisho na mapendekezo kwamba fulani pisha kiti uchunguzwe?!!!!
Je walitoa ama kuonyesha pale baadhi ya viashiria vyovyote ambavyo hata kamati ya Uchunguzi itajiegemeza kwavyo katika kutaka kuthibitisha na kuujua ukweli au ndiyo kuhoji tu hivyo!!?(Utoto huo ,acheni na siyo standard ya reasoning ya CHADEMA hiyo mbona!!?).

Salum Mwalimu wa upande ule alishutumiwa kwa matumizi mabaya/binafsi ya gari la Chama na mpaka kikao Chao kinakaa alikuwa amekuja na gari hilohilo kutoka nyumbani kwake na anajiendesha mwenyewe na Madam-Moza(Wife Material wa CHAUMMA)!!!
Acheni kuzushiana taharuki zisizo za lazima katika kipindi ambacho mnapaswa kuwa wamoja sana(Msiba wa Dereva/Ban ya Mikutano/Kesi Kibao/Eskoti za Polisi wenye kuvaa Kininja nk).!!
 
Leo si wataongea na waandishi wa habari ngoja tuone.
 
Chadema ni chama cha kifalme hadi wanachama wasioji mambo ya msingi?.

Mwenyekiti kuwa lupango siyo tiketi ya kuziba midomo wengine kuhoji mwenendo wa chama,hoja ijibiwe kwa hoja na si visingizio.
.mnakosa uadilifu kwa michango midogo itakuwaje mkishinda kuiongoza nchi.
Siasa na njaa hatma yake mbaya sana.
Kwa hiyo Heche akae pembeni kupisha uchunguzi ili mumuweke nani awe mwenyekiti?

Hivi mnajiona ninyi ni smart sana eeh?
 
Kumshabulia Lema kwa kutoa shutuma dhidi ya matumizi mbaya ya rasilimali za chama kwenye mkutano halali wa chama ni kutomtendea haki.

Ni wajibu wa kila mwanachama kulinda na kutetea mali za chama husika na siyo cdm tu ni vyama vyote ipo hivyo.

Ingekuwa vibaya kama angetoka na kwenda kulisema nje kwenye vikao na wana habari.

Tuvute subira ili tuone nini kamati kuu itachukua hatua gani.
Kumtendea haki Lema ni kukubaliana nae kuwa Heche haaminiki kukiongoza chama wakati huu Lissu akiwa lupango si ndio?

Alafu mumuweke nani?
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Kwahiyo unataka Lema au mwanachama wa CDM wasihoji ubadhirifu wa fedha kisa kafanya Heche?
Hizo tabia za ki CCM zitaiua chadema.
 
Kwa kuwa ni mijadala ya kwenye vikao halali sioni tatizo.
Hiyo ndiyo maana ya kujenga chama.
Tatizo ni lako uliye kuja kuweka hadharani mijadala ya vikao.
Mijadala ya vikao vya chama ni siri ya chama.
Wajumbe wa vikao watapopoana kwenye mikutano yao ya ndani na yote huishia humo.
Wakitoka lao huwa moja.
 
Kumtendea haki Lema ni kukubaliana nae kuwa Heche haaminiki kukiongoza chama wakati huu Lissu akiwa lupango si ndio?

Alafu mumuweke nani?
Tatizo lako unadhani bila Heche hakuna chadema.
Au na wewe ndiyo Heche umekuja kujitetea ili uendelee kupiga hela? Ebu eleza zile milioni 70 za wafadhiri ziko wapi na tonetone ziko wapi Acha kuleta blaablaah hapa
 
Wezi wanataka kupewa nchi , Heche bado mshamba tu , anaona fahari kutembelea magari makubwa ..Washamba hawawezi kupewa nchi , yaani chama bado kinajikongoja ila mnafuja pesa kizembe . Mkurya anapiga mkwara mbuzi , halafu anatembea na bodyguards 😀 😀
 
Lema mwenyewe alituhumiwa kula pesa za tonetone mwanzoni, tuhuma ziliishia wapi.
Tuhuma za kula pesa hazijaanza leo ila njia inayotumika ninkama kukibomoa cjama maana chama hakina luzuku hivyo ninkama kuwakatisha tamaa wanaojitolea kukichangia chama.
 
Huajiamini kabisa, umeandika kama mtoto mdogo hapa.

Hili jambo mliache liende muda utaamua litaisha vipi, kuliko mnavyoendelea kulianzishia nyuzi ambazo haziji na majibu yoyote zaidi ya kuongeza maswali yasiyo na maana.

So, kwako kwasababu Heche ni kiongozi ndio hatakiwi kuchunguzwa kama akikosea? Kwako Heche akisimamishwa kupisha uchunguzi maana yake ndio Chadema kitakosa viongozi?!

Wale wakina Mnyika, na wengine nani kakwambia hawawezi kukiendesha chama?

Msimfanye Heche ajione malaika mnakosea, anatakiwa kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake, hilo sio kosa la Lema kama ndie anamshutumu, Heche ajibu maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom