Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote...
6 Reactions
17 Replies
294 Views
Good day Great thinkers! Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake...
1 Reactions
4 Replies
43 Views
Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili...
0 Reactions
3 Replies
61 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huruma siyo Malezi,sina huruma na CHADEMA Mimi wala sina nachowaombea kizuri chochote kile. Kila Baya Liwe juu yao . Wapitiage mabaya tu na kukutana na mabaya tu na kila...
4 Reactions
25 Replies
186 Views
anayeweza kusoma kizungu asome asiyeweza sorry. see attached pdf file WHY TREASON IS NOW ARBITRARY REGARDED AS A POLITICAL OFFENCE IN EAST AFRICAN COUNTRIES? LAW AND PRACTICE IN TANZANIA...
2 Reactions
2 Replies
69 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikizungumzia hiki kilichotokea Tanzania kwa VP kufutwa uanachama hivyo kupoteza u VP, ni uthibitisho wa udhaifu mkubwa wa katiba...
13 Reactions
34 Replies
520 Views
Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na...
4 Reactions
17 Replies
264 Views
Nimependa andiko la Martin Maranja Masese: Dear, RANGO. Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia...
2 Reactions
2 Replies
150 Views
Nchi yetu Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye rasilimali nyingi na adimu sana Tanzania bado kuna ardhi kubwa yenye rutuba inayofaa kwa kilimo, kuna mbuga za wanyama, madini mbalimbali...
0 Reactions
11 Replies
90 Views
  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, usishindane na Aliyepakwa Mafuta na Mungu,usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Kwa hakika Taifa likiongozwa na...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili...
1 Reactions
43 Replies
404 Views
Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo...
2 Reactions
55 Replies
254 Views
Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es...
1 Reactions
10 Replies
141 Views
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na...
3 Reactions
51 Replies
609 Views
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
3 Reactions
11 Replies
743 Views
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo...
1 Reactions
12 Replies
137 Views
Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche...
10 Reactions
15 Replies
587 Views
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI. JOHN HECHE; Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini...
9 Reactions
26 Replies
587 Views
Back
Top Bottom