CHADEMA: Lissu ndiye target, Lema ni amplifier

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
715
Reaction score
646
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati, Taasisi ina visions zake, na wanaharakati wana visions zao ila wao ndo wanajikuta wapo sahihi zaidi na wanataka wasikilizwe wao wanasahsu Taasisi ina viongozi. Na mbaya zaidi haya wafuasi wa Chadema mitandaoni wanaogopa kusimama na viongozi wao ili tu wasipuuzwe na wanaharakati mwisho wa siku wakose likes. Leo hii Gobless Lema anaitwa MATAKO waChadema wanashangilia.....Taasisi imevamiwa
HR_LpNBWIAEiyw9.jpg
 
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati, Taasisi ina visions zake, na wanaharakati wana visions zao ila wao ndo wanajikuta wapo sahihi zaidi na wanataka wasikilizwe wao wanasahsu Taasisi ina viongozi. Na mbaya zaidi haya wafuasi wa Chadema mitandaoni wanaogopa kusimama na viongozi wao ili tu wasipuuzwe na wanaharakati mwisho wa siku wakose likes. Leo hii Gobless Lema anaitwa MATAKO waChadema wanashangilia.....Taasisi imevamiwaView attachment 3668842
 
Attachments

  • FB_IMG_1789136148044.jpg
    FB_IMG_1789136148044.jpg
    91 KB · Views: 3
  • 1788870522926.png
    1788870522926.png
    657.8 KB · Views: 2
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati, Taasisi ina visions zake, na wanaharakati wana visions zao ila wao ndo wanajikuta wapo sahihi zaidi na wanataka wasikilizwe wao wanasahsu Taasisi ina viongozi. Na mbaya zaidi haya wafuasi wa Chadema mitandaoni wanaogopa kusimama na viongozi wao ili tu wasipuuzwe na wanaharakati mwisho wa siku wakose likes. Leo hii Gobless Lema anaitwa MATAKO waChadema wanashangilia.....Taasisi imevamiwaView attachment 3668842

..matatizo yote hayo yanatokana na siasa chafu za Ccm.

..mahali popote pale penye DHULUMA lazima wanaharakati wawepo, na wawe na sauti.

..Na katika mapambano dhidi ya dhuluma baadhi ya wanaharakati husaliti wenzao hilo wala sio jambo jipya.
 
Kwa iyo lema ni msaliti?
 
Kwa iyo lema ni msaliti?

..mimi sijasema hivyo.

..anayemshutumu na kumhisi vibaya Lema ni manusura wa tukio la kutekwa, na shambulizi la kumtoa uhai.

..wakati mwingine tujaribu kuwaelewa baadhi ya wanaharakati, mateso waliyopitia, na machungu waliyonayo.

..yote hayo yamesababishwa na udhalimu wa Ccm.
 
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati, Taasisi ina visions zake, na wanaharakati wana visions zao ila wao ndo wanajikuta wapo sahihi zaidi na wanataka wasikilizwe wao wanasahsu Taasisi ina viongozi. Na mbaya zaidi haya wafuasi wa Chadema mitandaoni wanaogopa kusimama na viongozi wao ili tu wasipuuzwe na wanaharakati mwisho wa siku wakose likes. Leo hii Gobless Lema anaitwa MATAKO waChadema wanashangilia.....Taasisi imevamiwaView attachment 3668842
Na wanararuana vizuri kweli wao kwa wao halafu wanasingizia wasio husika na kuraruana kwako 🐒
 
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati, Taasisi ina visions zake, na wanaharakati wana visions zao ila wao ndo wanajikuta wapo sahihi zaidi na wanataka wasikilizwe wao wanasahsu Taasisi ina viongozi. Na mbaya zaidi haya wafuasi wa Chadema mitandaoni wanaogopa kusimama na viongozi wao ili tu wasipuuzwe na wanaharakati mwisho wa siku wakose likes. Leo hii Gobless Lema anaitwa MATAKO waChadema wanashangilia.....Taasisi imevamiwaView attachment 3668842
Jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kuichafua CHADEMA. Linatamani sana kuona CHADEMA ikivurugika.
 
Mmeamua kujifichia huku baada ya Ima kutifuana na SSH kisa katiba si ndiyo nyie misukule
 
Nimeiona video ya Lissu. Kwa kweli aliitoa in a sarcastic way.
Haikuwa sarcastic way, ilikuwa n genuine na aliitoa siku ileile Samia alipofiwa, alisema “Tumefiwa, naomba mnipelekee salaam zangu za rambirambi”, siku mbili baadaye akauliza kama salaam zake zilifika, ndipo Msemaji wa CHADEMA akaandika ila barua.
Alichofanya ni utu, ni kuwaonyesha kwa matendo vile watu wanapaswa kuishi. CHADEMA kama Chama hakiwezekani waishi kunyume na kile wanachohubiri.
Watu wanatakiwa wajifunze kuangalia mambo kitaasisi.
 
CHADEMA wanashindwa kujinasua katika ndoano ya wanaharakati
 
Wanaharakati wengi wana personal grievances na serikali na wanajiweka kwenye mwavuli wa CDM kwakua ni chombo kinachoweza kuwasaidia kufikia malengo yao binafsi.

Mwisho wa siku CDM itabaki kuwa taasisi ya kisiasa, hawawezi kuwa wanafanya kazi ya kuwafurahisha wanaharakati muda wote.

Unaweza kuta hata hao akina Mnyika, Lema, Heche na Lissu wameshawahi kuwa watumishi wa ile idara ile.
 
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati, Taasisi ina visions zake, na wanaharakati wana visions zao ila wao ndo wanajikuta wapo sahihi zaidi na wanataka wasikilizwe wao wanasahsu Taasisi ina viongozi. Na mbaya zaidi haya wafuasi wa Chadema mitandaoni wanaogopa kusimama na viongozi wao ili tu wasipuuzwe na wanaharakati mwisho wa siku wakose likes. Leo hii Gobless Lema anaitwa MATAKO waChadema wanashangilia.....Taasisi imevamiwaView attachment 3668842
Wewe ni wa kumquote sativa? 🤕
 
Haikuwa sarcastic way, ilikuwa n genuine na aliitoa siku ileile Samia alipofiwa, alisema “Tumefiwa, naomba mnipelekee salaam zangu za rambirambi”, siku mbili baadaye akauliza kama salaam zake zilifika, ndipo Msemaji wa CHADEMA akaandika ila barua.
Alichofanya ni utu, ni kuwaonyesha kwa matendo vile watu wanapaswa kuishi. CHADEMA kama Chama hakiwezekani waishi kunyume na kile wanachohubiri.
Watu wanatakiwa wajifunze kuangalia mambo kitaasisi.
Well said Consigliere
 
wala sioni sababu ya kulaluana ?
In fact ni ishara ya wazi kua baadhi yao wanatamani wote kua na changamoto au matatizo uniform na utatuzi wa changamoto zao ambazo kila moja alizipata kwa mtindo wake, eti nazo zitatuliwe as uniform, kitu ambacho sio sahihi na haiwezekani.

hii mindset ya eti kitu fulani tukose wote au tupate wote ni dhana mbovu na mbaya sana kwa wapambanaji wenye lengo moja, mtaishia kuraruana daily na kudhoofisha nguvu ya mapambano.

wanadamu kupeana pole kwenye misiba hasa waTanzania, ni jambo la kawaida sana regardless ya utofauti wa mirengo ya kisiasa. Lakini miongoni mwa baadhi ya wanachadema hali ni tofauti kidogo, kuhani msiba ni usaliti, na kitu ambacho kinachocheo kuvuana nguo hadharani. Hili ni kosa baya sana.

Na huenda kuna mambo mengine mengi zaidi hao majamaa wanayo mioyoni mwao baina yao, inatafutwa sababu tu ya kutoa nyongo. Nadhani hali inaweza kua mbaya zaidi.

Siasa za uadui wa kiwango hiki hazina afya wala ladha aise.
Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana 🐒
 
Back
Top Bottom