Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,096
Reaction score
106,280
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
HR4rWXQbUAA0_wK.jpg
HR4rXIwWsAouruU.jpg
HR3WhmdW8AIzcbn.jpg
 
Bro logic yako is so distroted, zoez la kuvalisha pete ya uchumba kupiga goti si mandatory, matter of fact ni show off za mapenz toward mtoto wa kike. Knowing hata kupiga hilo goti hiyo pete ingevaliwa

Kwa huyo so called rais ni different thing, si mapenz mostly uchawa na heshima kwanbaadhi

Binafsi nisingepiga kama mzee wangu mangungu
 
Mangungu ajira yake ni Simba, ameshazeeka sana, hawezi kupata kazi serikalini tena.
 
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
mwanaume kukerwa na mtindo wa maisha ya wanaume wengine ni kitu useless sana gentleman 🐒
 
Samia hata akiamua kuwaambia walambe viatu vyake sina shaka watafanya hivyo, aliyesema rais kwa nchi za afrika ni Mungu mtu hakukosea, ni kweli yeye ndiyo mwenye kuteua na kutengua nafasi kubwa za maamuzi serikali kuu ndiyo maana inapendekezwa kupunguza madaraka yake ili mambo ya dizaini hii yapungue kama tungekuwa na mfumo mzuri na bunge huru na hizi nafasi za waziri, wakuu wa mikoa wakachaguliwa na bunge huru lenye nguvu na maamuzi basi tungepunguza haya ya Rais kuonekana ni Kila kitu
 
Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu!

Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba?

Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha manufaa kutoka kwake kipi cha ajabu kumpigia magoti mtu anayeweza kukupa au kukufuta kazi inayokupatia mabilioni ya pesa!
View attachment 3668183View attachment 3668184View attachment 3668185
Bro logic yako is so distroted, zoez la kuvalisha pete ya uchumba kupiga goti si mandatory, matter of fact ni show off za mapenz toward mtoto wa kike. Knowing hata kupiga hilo goti hiyo pete ingevaliwa

Kwa huyo so called rais ni different thing, si mapenz mostly uchawa na heshima kwanbaadhi

Binafsi nisingepiga kama mzee wangu mangungu

Ukisngalia vizuri, waliopiga Magoti wote hapo ni wale wanaojinasibisha na dini ya Ukristo. Sidhani kama kuna Mtanzania Muislam aliyepiga magoti, labda kama sijamuona
 
Back
Top Bottom