Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI! Wamepanga lazima wamkute na hatia. Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6...
23 Reactions
122 Replies
2K Views
Marehemu Magufuli aliwahi onya , kukataa na kupiga marufuku zoezi la kufurusha machinga mitaani wakati akiwa Rais Kwa madai kwamba hiyo ndio Ajira Yao na kwamba wale machinga ndio walimpigia kura...
5 Reactions
69 Replies
669 Views
Video mbaya imetoka kuhusu Mwamposa. Mambo mabaya, haiwezekani hata kuyazungumza hapa JF au popote. Tatizo ni kwamba huyu "Nabii" amekuwa rafiki mkubwa wa Rais Samia na sifa mbaya Kwa huyu mtu...
4 Reactions
28 Replies
763 Views
https://www.instagram.com/reel/DePHV3lO4aT/?obrf=MWpkNGhremkxNDgyZA==
1 Reactions
1 Replies
36 Views
Uncle, when you are entrusted with the task of ritual ablution of a corpse, you invariably transcend consanguinity — they repose an implicit faith in you that you are incapable of desecration...
12 Reactions
24 Replies
547 Views
FEMATA inajieleza kuwa ni taasisi inayowakilisha maslahi ya wachimbaji wadogo nchini Tanzania. Kwa nafasi hiyo, jambo la msingi si taasisi kuwa na jina au viongozi pekee, bali ni kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
07 June 2026 #LIVE: KIJANA MZALENDO ANAFUNGUKA MAMBO MAZITO SAMIA KWENDA URUSI, "TUJIANDAE KUUMIA" https://m.youtube.com/watch?v=G6zobdMSy6s Kada wa CCM, David Levi Nkindikwa akinyoosha rula...
6 Reactions
11 Replies
389 Views
Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026. Maombi hayo...
4 Reactions
13 Replies
209 Views
Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria...
1 Reactions
9 Replies
90 Views
Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa...
12 Reactions
74 Replies
1K Views
Tatizo ni machawa Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud) Tumejifunza katika Boraitha: Kama utaishi...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Tundu Lissu, David Djumbe, amefunguka kuhusu mazingira yaliyomfanya akimbie nchini Tanzania baada ya kupokea taarifa...
3 Reactions
13 Replies
434 Views
Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania...
4 Reactions
89 Replies
612 Views
SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
18 Reactions
77 Replies
2K Views
Wana-JamiiForums, Machozi ya furaha yananilenga nikitafakari mapenzi makubwa ambayo Rais wetu mpendwa anayo kwa Watanzania, hadi baadhi ya wanasiasa wa upande wa pili sasa hivi wanakunywa chai...
1 Reactions
7 Replies
124 Views
Back
Top Bottom