Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,785
- 8,620
Mafia ni jina na genge la kihalifu lililoanzia Katika mji wa Sicily nchini Italy na baadhi kuhamia Marekani,likasambaa nchi jirani ya Marekani na Hadi likaingia katika nchi za Amerika ya Kusini,na hatimae Dunia nzima.
Uhalifu mkubwa wa Mafia ulikua ni ujambazi,uporaji,biashara haramu,kamali,madawa ya kulevya,Utekaji,biashara ya silaha,umalaya n.k.
Urusi Nako liliibuka genge mfano wa hili
Likaitwa Russian Mafia.
Huko Urusi wakati wa USSR kulikua Kuna shirika la ujasusi hatari sana Kwa Ubabe na uwezo wake mkubwa wa kijasusi,lilikua nintishio USSR nzima na duniani kote,shirika hili liliitwa KGB
USSR ilipovunjika KGB ilivunjwa kwa sababu lilikua linahudumia USSR nzima ,majimbo yaliyojitenga nayo yakaunda mashirika Yao ya ujasusi.
Russia ikaunda shirika lake jipya ambalo lipo Hadi Leo linaitwa FSB.
Ilipovunjwq KGB,ili kuunda FSB, Urusi ilwaacha baadhi ya majasusi wake ,askari na wafanyakazi iliyoona haiwahitaji,wengine waliacha kwa hiari zao na wengine kufukuzwa Kwa utovu wa nidhamu ama kutohitajika kwa huduma zao.
Hawa wote walioachwa wakajikuta kwa nyakati tofauti na Kwa sababu tofauti wakawa wanaendesha maisha Yao kwa njia za kimagendo na kihalifu,kwa kufanya biashara za magendo,uhalifu,uatapeli na udanganyifu,Utekaji,wizi na dhuluma.
Na hapo ndio ukawa mwanzo wa KUZALIWA kwa Russian Mafia
Magenge haya ya kihalifu yapo Urusi Hadi Leo na yanajukikana hivyo,Russian Mafia.
1995 -2005
Umoja wa Vijana wa chama Cha zamani walishiriki kuiba kura za wagombea wa vyama vya upinzani ktk chaguzi za marudio na Uchaguzi Mkuu.
Waliiba maboxi ya kura vituoni na kuweka kura zilizopigwa, waliwapiga wasimamaizi wa wagombea wa upinzani.
Watu wao walitangazwa washindi.
2005 -2015
Kilianzishwa kikundi kiliitwa Green Guard,wizi wa kura uliendelea kwa nguvu zaidi,kitaalamu zaidi.
Waandishi wa habari walipigwa,wengine waliuwawa,mfano Mwangosi,wanaSiasa machachari waliuwawa,mfano Alfonce Mawazo, wapinzani kupigwa,kuchinjwa na misumeno ya moto,mikutano ya wapinzani ilishambuliwa kwa milipuko na Kila aina ya vurugu.
Wakosoaji walianza kuteswa na kutekwa mfano Dokta mmoja.
2015-2020
Umoja wa Vijana na Green Guard wakapotea likaja genge pasua kichwa Wasiojukikana.
Inawezekana ndani ya wasiojukikana yamo makundi mawili hapo juu.
Hapa ndio Kuna shughuli pevu.
Watu walitekwa ,walipigwa,waliouliwa walilawitiwa,walipotezwa na wengine kuuwawa.
wafanyabiashara,wasanii wa hip-hop na wanaSiasa walitekwa na kupotezwa,mfano,Mo,Roma ,mkatoliki,Ben Saa8,Lissu n.k.
2020-2026
Wasiojulikana katika sura ya Muungano.
Hapa wasiojulikana wa pande zote wameungana.
Genge hili limenda mbele Zaidi,kutoka kuwashughulikia wapinzani,Sasa linawashughulikia wapinzani na wenzao walioasi.
Genge hili limekua zaidi Sasa limekua la ki
Muungano Zaidi.
Sio TU Muungano wa pande mbili ,Bali Muungano wa kikanda.
Wasiojulikana waliofanya kazi ya kuua waandamanaji ni Muungano wa kikanda,maana inasemekana wengine waliingia kutoka Kwa majirani.
2027 na kuendelea
Tanzanian Mafia inaenda KUZALIWA.
Hili genge litakua la kisasi,Upigaji Hela na kujilinda.
Hili genge litaenda kushambulia hata wafadhirii wake wa zamani.
Muda utafika wafadhiri wa genge hili watabanwa walifikishe kwenye mikono ya Sheria,wengine watataka kuwapoteza memba wa genge hili kwa sababu za kuficha ushahidi,wengine watasakamwa na Sheria,basi nalo genge lita jitenga na wafadhiri na kuanza kuwafichua wafadhiri na maovu Yao,kitakachotokea itatokea vita ya wenyewe Kwa wenyewe kati ya wafadhili na magenge, sehemu kubwa ikiwa ni wafadhi na vigenge vipya kuwasaka genge la zamani ili kuwapoteza kwa Nia ya kuficha kupoteza ushahidi na kuficha Siri.
Genge la zamani watanzisha mbinu za kujihami kwa kuogopa kupotezwa ama kushitakiwa, nao watataka kuwa poteza wafadhiri.
Utatokea Utekaji na maafa kwa familia za wafadhili kama sehemu ya kisasi kwa wale watakao wataja viongozi wa genge la wasiojulikana.
Genge litaanza Utekaji wa wapendwa wa wanafamilia wa baadhi ya wafadhili na matajiri,ili kujipatia vioato.
Baadhi watahitaji malipo ili kuwaachilia wapendwa wa familia za wafadhiri,
wataombwa walipwe mamilioni ya Hela ili kuwaachia wapendwa wa wafadhili,
wengine watapewa masharti ukinitaja naua mwanafamilia wako popote alipo ndani au Nje ya nchi,
wengine wataua wanafamilia wa wafadhiri wao wa zamani kwa sababu baba zao au ndugu zao wamefungwa au wanatafutwa wafungwe.
Hili genge litaenda kuwashughulikia watu wote pamoja na wafadhili wake wa wakati huo na wa zamani,kwa sababu tofauti.
Hivyo itakua ni genge la kulipa kisasi,kujilinda na kupiga Hela.
Genge hili litakua out of control ya wafadhili na mwisho wa siku ndio itakua kuzaliwa kwa TANZANIAN MAFIA.
Hatua stahiki zisipochukukiwa Sasa mbele tutaenda kuyashuhudia haya.