Upinzani Mpya Dhidi ya CCM Imara ya Samia

Upinzani Mpya Dhidi ya CCM Imara ya Samia

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
858
Reaction score
757
By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe.

CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani.

Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa tuliipenda nchi hii kwa wivu mku
HSGsEAHbMAE2ejp.jpg
HSGsEADbgAAHgEn.jpg
bwa.
 
By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe.

CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani.

Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa tuliipenda nchi hii kwa wivu mkuView attachment 3669891View attachment 3669892bwa.
Lema bana ndo anapindua hivoo
 
MAKAMU WA RAIS NDUGU EMMANUEL NCHIMBI HAJAENDA KUMUONA MTUKUFU RAIS
 
Wapinzani hawahitaji miaka 100, lissu alipoingia kwneye wenyekiti ilisemwa hivyo hivyo, what happened?
 
Back
Top Bottom