Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu...
Maneno ya Lema LET LOVE LEAD yamepokelewa negatively na wananchi wengi tofauti na miaka ya nyuma kabla ya mauaji ya 29/10/2025, sio kwamba maneno ya Lema ni mabaya lakini tatizo linakuja kwa...
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.
Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:
Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa...
DEREVA BODABODA ALIYEPOTEA ARUSHA, MWILI WAKUTWA UKIWA UMEKATWA SHINGO NA KUTOBOLEWA MACHO
Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya...
Siasa za chadema zimeingia katika level nyingine ya UBABE, NGUVU, VURUGU, CHUKI NA HASIRA.
Kwa bahati mbaya, hawana silaha. Wangekuwa na silaha, WANGEUA ILI KUWEKA MAMBO SAWA.
Ukisikia aina ya...
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya...
Tusikwepe kuiona picha kubwa inayochezwa na mihimili ya serikali haramu ya Tanzania dhidi ya raia, wakosoaji na wanaharakati wa Haki na Demokrasia nchini
Mahakama inapopokea kuendesha kesi za...
ASKOFU AJIBU HOJA ZA SIMBACHAWENE JUU YA DKT. NCHIMBI NA KATIBA MPYA!
Ndugu Watanzania!
Mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma na aliyekuwa Waziri Mwandamizi katika serikali ya Samia na...
Hakuna sababu mtu ashambuliwe kwa kumtetea Nchimbi. The question of the 2030 elections does not arise.
Uchaguzi huo wakati wake bado.
Tunasema kwamba sasa hivi Nchimbi ndio Makamu wa Rais.
Yule...
Huyu kijana ni mwanachama wa CCM anaitwa Mussa Ismail Bad ni timu ya Emmanuel John Nchimbi kumbe alitekwa na watu wasiojulikana. Wanaharakati hawakutilia maanani sababu aalikuwa nzi wa kijani...
Hayo ni maneno ya kuleta taharuki.
Nimeona mtu mmoja anaeleza sasa hivi.
Anasema kiongozi kama Nchimbi ambaye anajua siri nyingi za serikali akijiuzulu au akistaafu au akifukuzwa kazi,anakua...
Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali...
Pastor Grace Gwajima will soon be the next first lady of Tanzania. The next president of Tanzania will be a bishop and the wife will be a pastor. God is taking over Tanzania.
Wasalaam.
Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), mzungumzaji mkuu alikuwa David Zacharia Kafulila . Washiriki walieleza kuwa hotuba yake...
Heshima sana wanajamvi.
Kufuatia msiba wa Mume wa Mh Rais wa JMT tumeshudia viongozi wa Dini,Wanasiasa,Wasanii na Viongozi tofauti tofauti wakimimika kuelekea Zanzibar kutoa salamu za pole kwa Mh...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne .
Ambapo katika Ziara hiyo...
The digital debate surrounding CHADEMA demonstrates the changing nature of political communication in Tanzania. Information spreads quickly, and political leaders must respond with facts, clarity...