Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mungu ni wetu sote na tuna haki ya kumwabudu kadri ya Imani zetu as long as huingiliii haki za wengine. Pole Lisu. Mungu yuko nawe Jpili njema
2 Reactions
11 Replies
81 Views
Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali...
7 Reactions
38 Replies
386 Views
Pastor Grace Gwajima will soon be the next first lady of Tanzania. The next president of Tanzania will be a bishop and the wife will be a pastor. God is taking over Tanzania.
12 Reactions
50 Replies
837 Views
Wasalaam. Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), mzungumzaji mkuu alikuwa David Zacharia Kafulila . Washiriki walieleza kuwa hotuba yake...
7 Reactions
19 Replies
223 Views
Heshima sana wanajamvi. Kufuatia msiba wa Mume wa Mh Rais wa JMT tumeshudia viongozi wa Dini,Wanasiasa,Wasanii na Viongozi tofauti tofauti wakimimika kuelekea Zanzibar kutoa salamu za pole kwa Mh...
3 Reactions
2 Replies
75 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo...
0 Reactions
4 Replies
143 Views
The digital debate surrounding CHADEMA demonstrates the changing nature of political communication in Tanzania. Information spreads quickly, and political leaders must respond with facts, clarity...
1 Reactions
1 Replies
16 Views
Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya...
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Hakuna aliyekuwa anajua hata kufikiri kwamba Heche anaweza akawa anazungumza na DGIS. Umeibuka mtafaruku mkubwa sana ndani ya CHADEMA, hadi mwenyekiti jana ameshindwa kula huko gerezani baada ya...
1 Reactions
6 Replies
99 Views
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro...
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga . Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
WATANZANIA wana sifa moja kubwa sana ambayo mpaka leo mataifa mengine duniani wanashindwa kuelewa ni watu wa aina gani. Watanzania ni watu ambao wanaunganishwa kwenye jamii zao kwa mambo ya...
1 Reactions
4 Replies
52 Views
Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na...
2 Reactions
6 Replies
120 Views
Je huko sehemu zingine za Dar vipi? Umeme wa Tanesco upo? Nauliza kwa sababu isije ikawa Ile post niliyoandika sasa hivi kuhusu yule jamaa inaleta balaa
3 Reactions
20 Replies
514 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la...
1 Reactions
1 Replies
108 Views
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa...
22 Reactions
117 Replies
10K Views
Na kwamba, Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele? Na eti kwa kutokuvaa t-shirt za free Tundu Lisu ni usaliti wa kiwango cha juu sana kwa chadema? Au kuna jambo...
5 Reactions
17 Replies
351 Views
Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili...
22 Reactions
99 Replies
5K Views
In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022. Nunc autem, it has degenerated into...
11 Reactions
49 Replies
1K Views
Back
Top Bottom