Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama...
3 Reactions
10 Replies
121 Views
Chama cha wapiga ramli kina vituko sana.
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Mjumbe hauawi. Nchi imechafuka
13 Reactions
19 Replies
658 Views
Saaa CCM inageuka kuwa na misimamo isiyoeleweka. Imekuwa ukitofautiana kimawazo katika CCM basi wewe ni ugaidi. CCM yenyewe sasa in mtazamo wa kigaidi. Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda...
8 Reactions
20 Replies
423 Views
Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo. Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima...
3 Reactions
36 Replies
578 Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa...
0 Reactions
4 Replies
139 Views
Kwanza tukubaliane Nchimbi sio chawa. Alichokisema alimaanisha. Msikilize vizuri Nchimbi. "ningekuwa na uwezo wa kuwaambia bila watu kusikia basi ningesema Pambaneni mpate katiba Mpya"...
4 Reactions
18 Replies
387 Views
Rushwa hasa rushwa kubwakubwa na rushwa za barabarani. Sababu zinawanufaisha wafadhili wa chama na zinafanya kazi kama malipo au fadhila kwa vyombo kuwatuliza ili waendelee kukibeba chama. Jambo...
4 Reactions
7 Replies
90 Views
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuifanyia PNA hotuba ya rais Samia siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA ambayo yamekwenda sambamba na utoaji wa tuzo ya...
3 Reactions
65 Replies
2K Views
Lisu kwa Golugwa. ' 1. Je baada ya maoni ya Jumuia za kimataifa juu za ubovu wa uchaguzi serikali ilifanyeje Golugwa: Mama alihutubia akasema wasitupangie. Tundu lisu; Je hizo lipoti zilimaanisha...
12 Reactions
20 Replies
655 Views
Hakuna siri iliyofichika kwenye chungu cha kukaangia. Kundi la watu 22 ndani ya ukumbi huo huo, wamekaa wanasuka kamba. Lengo lao moja: kumuangusha jamaa. Lakini wanasubiria neno kutoka mlimani...
33 Reactions
60 Replies
3K Views
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda. Je hii ni sahihi? 👇
6 Reactions
49 Replies
644 Views
Wanabodi, Leo kuna SMS nimetumiwa, nilipoisema humu hiyo SMS imeleta kizaazaa! hadi kufikia kutoleana maneno mabaya kwa baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru kwa Mwenye Enzi Mungu...
10 Reactions
59 Replies
5K Views
Nimeikuta mahali, confirm maana inaleta ukakasi mkubwa. Najua watu walishalipwa amnbako bomba litapita. Sasa hii tena inatoka wapi.
1 Reactions
3 Replies
274 Views
Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia...
1 Reactions
7 Replies
314 Views
Mwandishi wa habari kutoka Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa urasimu katika upatikanaji wa kibali na ukomo wa uhuru wa kihariri ndivyo vitu vinavyovizuia vyombo vya habari vya serikali...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina. Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja. Hivyo basi, Mwigulu si waziri...
6 Reactions
22 Replies
391 Views
Makomredi tayari dalili zimeonekana kuwa mwenyekiti wa chama rafiki CHADEMA anaweza kukutana na hukumu kali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili. Hukumu ya hili kosa ni kunyongwa mpaka kufa ila mara...
0 Reactions
17 Replies
275 Views
Back
Top Bottom