Hatua kuu saba za CCM, kuzaliwa hadi leo

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,710
Reaction score
8,420
1)Chama Cha ukombozi
TANU +ASP=CCM

Sera- Ukombozi,kupambana na Njaa ,maradhi,ujinga na umasikini ujamaa na kujitegemea.

viongozi -Wafia NCHI.
Wachache- Nyerere,Karume,Kawawa Aboud Jumbe, Sheik Thabit Kombo n.k

2)CCM Halisi
Sera - Ujamaa na kujitegemea,kuinua maisha ya wakulima na wafanyakazi

Viongozi- Wafia NCHI.
Wachache-
Nyerere,Aboud Kumbe,Idris A dul Wakhil,Salim Ahmed Salim,Seif Sherif Hamad, Edward Sokoine, Jackson Makweta,Paul Sozigwa,n.k

3)CCM Ruksa
Sera-Ujamaa na kujitegemea Ruksa Wakulima wafanyakazi na wafanya Biashara Ruksa.
Ruksa kufanya kazi na kufanya biashara kiongozi wa serikali

Viongozi-Wafia nchi na Chama.
Ali Hassan Mwingi,John Malechela,Salmin Amour,Ali Ameir Mohamed,Shamsa Vuai,Nahodha,Augustin Mrema n.k

4)CCM Uuzaji mashirika
Sera -
Sera-Ubepari ubinafaishaji, Uwekezaji na uuzaji wa mashirika,makampuni na rasiliamali za umma kwa wawekezaji wa ndani na nje

Viongozi- Wafia Chama. Benjamin Mkapa,Ali Mohamed SheIn,John Malechela,Ali Omar Juma.

5)CCM Mtandao
Sera -Ufisadi, Upigaji na mishemishe,michongo, Madili na Uzandiki.
Richmond,Tegeta Escrow,Kagoda EPA,n.k

Viongozi-Wafia Kundi.
Jakaya Kikwete,Aman abeid Karume,Sumaye,Lowasa,n.k

6) CCM Sukuma Gang
Sera-
Wafia Chama.
Maendelea pamoja na Visasi,Ubabe,sifa,kukomoana,Utaifa,Umafia,uonevu,hazieleweki,Ukanda,Utekaji,kupotezwa.

Viongozi- John Magufuli,(Husein Mwinyi)(Majaliwa Majaliwa),Mwigulu,Makonda,Nape,

7)CCM MAFIA

Sera -Wafia Uongozi
Hakuna sera, Polisi State, Hakuna kuhoji,Mafia,Utekaji,Ugaidi,Ubakaji,mateso,ubambikaji kesi na kupotezwa,kupiga marufuku.n.k

Viongozi-
Samia Suluhu,Mwigulu,Makonda,Chalamila,Patrobas Katambi,Abduli,Mchengerwa n.k
 
Duh!...hivi kundi namba 6 ni kweli lilikuwepo au ilikuwa kupakana matope ?..
Pascal Mayalla
 
Hakuna kitu hicho kinachoitwa Sukuma Gang, it is just a fictitious group ya waoga wa ukweli, ila wenye akili fupi wakaamini na Wasukuma wakaanza sio tuu kubaguliwa bali pia kuenguliwa!. Mfano mzuri ni neno "magwajima" na "gwajimaization", ila kiukweli tukubali tukatae Wasukuma wana uwezo mkubwa sana wa uongozi kutokana na kujaaliwa uthubutu!. JPM ni ushahidi tosha.

P
 
Uko sahihi Mkuu Pasco,ila ndivyo kundi namba silta lilivoitwa na kundi namba Tano au CCM namba Tano.
Pengine ni Kwa sababu kama ulivyosema hapo juu kua ni uoga wao TU.
Kuhusu Wasukuma kua na viongozi Bora uko sahihi kabisa.
Nawakumbuka kwa uchache akina Mzee Philip Nyanda,Mzee Shindika,Mzee Pius Ng'wandu n.k.
Hawa walikua ni watu smart sana.
 
ccm ya sasa ni ya kubambikiza kesi za ugaidi kwa wale wenye mawazo mbadala na wapinzani wa kisiasa, kuteka na kuua, iliyojaa machawa na wazee wa ndiyo mzee, haina vision wala mission ni bora liende
 
Back
Top Bottom