Kuna kitu huwa nakifikiria sana—amani tuliyonayo Tanzania ni kitu kikubwa sana. Wengi wetu tumeizoea kiasi kwamba wakati mwingine tunasahau thamani yake.
Unaamka asubuhi, unaenda kazini au...
Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣
Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu...
Hakika kila Mchuma janga hula na wa kwao, hawa akina Kingai na wenzake wameitwa Mahakamani, kiherehere chao cha kutunga kesi ya uongo ili kuokoa Mabosi wao kimewaponza, watadhalilika wao na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mohamed Kawaida ametoa onyo kali kwa viongozi wa serikali na wa Chama hicho wanaojifanya kuwa ni wakubwa kuliko chama hicho kwamba...
Bila shaka ni ujumbe wa kitisho kwake kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
Tumpe moyo kuendelea kusimama na nchi yake ila anayemtisha asisamehewe na umma wa watanzania kamwe.
Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku...
Mara nyingi, nasoma maneno kama mzae au mzazi, ngori, na mengine mengi humu Jf.
Huwa siachi kushangaa na kujiuliza.
Je, wakenya wameunda sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili, kukidharau, au...
Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana,
Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Japo...
Hello!
Kama kawaida wapinzani uchwara hata hawajui wanataka nini. Mwezi mmoja tu nyuma kuna maneno aliyaongea Ex vice president Emmanuel Nchimbi wakaanza kumchukia. Baadaye kidogo wakasikia...
Hii nchi aisee tuna kitu tutafika mbali….. mnajiandikiaje per dm , kujilipia nauli kwenda na kurudi ya kwenda kumfariji mfiwa ? Ndio ni rais lakini kafiwa na mume , mume hakua ameoa taifa wajameni...
Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini...
Dawasa: kuna mgao wa maji kwa wiki nzima tunajiandaa na elnino;
Elnino ikija: miundo mbinu imeharibiwa na elnino hatutakua na maji mpaka tutakaporekebisha miundo mbinu
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.