Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://youtu.be/45tUyT29Xx8?si=FiDJLgdgOnGlidgn Nimewaona hawa wataalamu wa "TMA" kupitia Luninga ya "ITV"habari saa mbili jioni hii. wametoa tahadhali ya mvua kubwa za majanga almaarufu kama...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha. Baada ya kufika...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Wamekuwa ni chanzo cha kufanyiwa vitendo vya ukatili. Sisi kama Dawati la Jinsia na Watoto tunavyosikiliza kesi za kina mama waliofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia, chanzo kikubwa kinakuwa...
0 Reactions
4 Replies
120 Views
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kuikosoa vikali serikali kwa kuwasilisha bungeni taarifa ya majumuisho...
2 Reactions
4 Replies
163 Views
Kitu ambacho Magufuli alikielewa ni kwamba maendeleo yanahitaji miundombinu, hasa barabara. Palipo na barabara ya lami, shughuli za kiuchumi huongezeka na maendeleo huja kwa urahisi zaidi. Sijui...
2 Reactions
16 Replies
159 Views
copy paste fb 1 Julius Kambarage Nyerere(1964–1985) • Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa, Yupo Makongoro kapewa nafasi ya Uteuzi kuwa mkuu wa...
4 Reactions
7 Replies
347 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, leo Oktoba 15, 2026, ameelekea Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam, akiambatana na timu ya mawakili wake...
3 Reactions
8 Replies
370 Views
Watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamini William Mkapa na John Pombe Magufuli hawana kabisa ushawishi kwenye siasa za Tanzania. Tofauti na wenzao watoto wa Ali Hassan Mwinyi, Jakaya...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Hebu sikiliza sababu zinazotolewa kwanini chadema ipewe nafasi ya kuiongoza nchi. Eti mkoloni ni bora kuliko Nyerere na Magufuli n Samia. https://youtu.be/v_NMqvJKnkI?si=6HyhDA0-hWFRnzcS
0 Reactions
14 Replies
193 Views
Mimi na jiji siwaachi mpaka monitor damu na faini nalipa na jela siendi ila mimi na nyinyi ugomvi wetu hauish
2 Reactions
13 Replies
246 Views
𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘆𝗮𝗻𝗴'𝗮𝗿𝗮 𝗔𝗹𝗴𝗲𝗿𝗶𝗮 Tanzania imengara nchini Algeria kufuatia kupewa hadhi ya kuwa mgeni wa heshima katika maonesho ya kimataifa ya ujenzi, makaazi na miradi ya miundombinu yalijulikanayo...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja...
0 Reactions
2 Replies
166 Views
Mods naomba uzi huu usiungwe kule Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi. Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada...
20 Reactions
139 Replies
5K Views
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kukosoa vikali ukimya wa mashirika ya kimataifa, mabunge ya kikanda...
4 Reactions
6 Replies
159 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu...
5 Reactions
184 Replies
2K Views
Mwanafalsafa aliyaona haya zaidi ya miaka 2400 iliyopita!! Udhalimu haukuanza leo Ni wa tangu enzi na enzi. Bahati mbaya Socrates haku suggest namna ya kuuondoa
1 Reactions
3 Replies
95 Views
Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio...
4 Reactions
94 Replies
870 Views
Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo Wanaompa nguvu...
30 Reactions
176 Replies
3K Views
Maskini yuko tayari kubahatisha, hana la kupoteza. Sana anapoteza na anaweza akapoteza lile liumaskini lake, lakini anaona kingine anachoweza kupoteza? Work for a revolution, tena msiogope...
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Finland nchini, Mhe. Anna...
3 Reactions
26 Replies
370 Views
Back
Top Bottom