Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Manabii walihubiri kwamba nyakati za mbele mataifq yote yamtafahamu Bwana na kumkimbilia Isaya 42:6;45:14
0 Reactions
4 Replies
55 Views
Odemba: ...chama chenyu cha Chama Cha Mapinduzi kimepata ushindi wa kishindo kwa asilimia zaidi ya 97, mliwezaje kupata asilimia zote zile katika hali kama hii ambayo watu na umma unajua ya kwamba...
1 Reactions
3 Replies
334 Views
Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM. CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya...
1 Reactions
11 Replies
110 Views
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameonekana Kizimkazi akitoa pole kwa Samia Suluhu kufuatia kifo cha mumewe Mbowe ambaye anafahamika pia kama USTAADH ABOUBAKAR, ameonekana akiwa...
20 Reactions
72 Replies
1K Views
The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili...
42 Reactions
94 Replies
3K Views
Nimemaliza. Lisu hujawahi kwenda kumuona. Au??? mara moja!
16 Reactions
163 Replies
2K Views
Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama. Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea...
9 Reactions
120 Replies
2K Views
Wana JF natumai hamjambo kabisa Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma. Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk...
8 Reactions
39 Replies
323 Views
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata...
7 Reactions
53 Replies
597 Views
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na...
42 Reactions
84 Replies
6K Views
Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano. Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi...
9 Reactions
44 Replies
869 Views
Hivi vyama vya Siasa kama CCM na Chadema vilishavuka mtu mmoja kua mkubwa kuliko chama Mbowe yuko wapi Msigwa aliondoka akarudi kwa hiyo hata Lema anaweza kufukuzwa tu ...
10 Reactions
18 Replies
315 Views
Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto. Katika hali ya kawaida ni ngumu...
9 Reactions
52 Replies
1K Views
Anonymous
Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha...
1 Reactions
3 Replies
89 Views
Na Benny Mwaipaja, Seoul, Korea Kusini Waziri wa Fedha, Mhe. Blozi Khamis Musa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania, akiambatana na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Mtumishi huyo yupo Idara ya Vizazi na Vifo (RITA) Wilaya ya Chemba, Dodoma amekuwa anawajibu watu vibaya na muda mwingine kuwacheleweshea vyeti vya kuzaliwa ili wampe rushwa, anatumia kigezo cha...
0 Reactions
6 Replies
198 Views
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya...
1 Reactions
4 Replies
111 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, amewataka wanachama na wanaharakati wa chama hicho kuacha matusi na mashambulizi dhidi ya viongozi, akisema hatua hizo...
2 Reactions
21 Replies
344 Views
Owners profit by paying workers less than the true value of their labor Our so called! INDUSTRIES AFTER 100 YEARS STUDENTS WILL STUDY CHINESE AS COLONISTS AND TANZANIANS AS SLAVES
0 Reactions
1 Replies
39 Views
Back
Top Bottom