Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7. Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco. Mwenye namba ya simu...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kichwa cha habari cha jitosheleza. Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Sisi watu wa ajira mpya kada mbalimbali tofauti na Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera hatujalipwa fedha za kujikimu. Mfano Kada ya Maliasili na Mazingira...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Anonymous
Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa. Ukifika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu...
8 Reactions
72 Replies
12K Views
Anonymous (4e93)
Kuna jipu kubwa ambalo likiiva litaleta hatari kubwa sana pale mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa. Kuna jamii ya wasukuma imeenda wilayani humo inawahonga viongozi ngazi ya vijiji na viongozi...
4 Reactions
6 Replies
969 Views
Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda...
42 Reactions
259 Replies
14K Views
Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara...
8 Reactions
87 Replies
11K Views
Mradi wa Maji huko Arusha unaelezea madudu yote yanayofanywa na serikali na wachina wanaowapendelea sana kuwapa tenda. Isingekuwa mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni, ingekuwa kama waswahili...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za mchana wana JF. Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza...
10 Reactions
56 Replies
8K Views
Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea. Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta...
31 Reactions
91 Replies
8K Views
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto. Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la...
17 Reactions
126 Replies
11K Views
Bandari ya Ujiji imedumaa tofauti na matarajio yetu wana Kigoma Ujiji. Kuna suala la Bandari ya Ujiji Kigoma tunaomba Serikali itusaidie Wananchi wa Kigoma Ujiji ,Bandari ya UJIJI haileta...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe...
24 Reactions
47 Replies
7K Views
Tuma timu yako kwa namna inayofaa leo tarehe 01.10.2023 wakajiridhishe namna Trafic wanavyokomoa Madereva hasa wa Bajaji katika eneo hilo. Leo nimepita Mandela Road Dar es Salaam nimeona...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom