DOKEZO DC Magembe (Geita) ni muongo, anastahili kuchunguzwa na mamlaka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi

Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza na media na anafanya hivyo kwa malengo binafsi wala si uzalendo.

Zahara Michuzi alipata ruhusa kwa kufuata taratibu zote na gharama za safari hiyo hazikulipwa na serikali bali waliomwalika.

Sasa, PCCB mchunguzeni vema huyu DC kwani anafanya biashara ya madini na kwa sasa anakusanya hela akagombee ubunge huko Chato ila hakubaliki kwani wanamuona ni kiburi, mtata na mgomvi.

Mamlaka zitakuwa na taarifa kuwa aliwahi kumchapa makofi DED alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe!

Huyu ni mtu mmoja wa maigizo. Akiwa DC wa Ukerere enzi za Awamu ya Tano (2019) aliwahi kuibuka na madai yaliyolenga kuwachafua wenzake na kumfanya yeye aonekane mchapakazi mbele za mamlaka.

Wakati huo alidai zaidi ya shilingi milioni 881 za Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe zilikuwa zimefanyiwa ubadhirifu akiwachafua watu sita akiwemo Mganga Mfawidhi wa Wilaya wa wakati huo (Revocatus Cleophace) huku akitoa siku 14 kwa Mkurugenzi wa Wilaya (wakati huo alikuwa Ester Chaula), Mweka Hazina na Afisa Mapato wa Halmashauri hiyo kurudisha pesa hizo.

Angalia hapa:

View: https://www.youtube.com/watch?v=h5Ak9ves9dE
 
Wachonganishi, wazandiki, waongo na wanafiki hawafai kuwa sehemu ya serikali.

Huyo DC aulizwe alitoa wapi taarifa hizo, na je alishirikisha kichwa chake kujiuliza hata kidogo juu ya ukweli wa tuhuma zake kabla hajaenda kuropoka kwenye vyombo vya habari??

Haipendezi kuwa na viongozi roporopo na wachonganishi.
 
Hapo hujathibitisha kama hakuchukua pesa yoyote ya Halmashauri ya Geita kwa ajili ya safari hiyo.

Lakini inavyosemekana huyo Mkurugenzi ni fisadi sana.Inawezekana hiyo safari hajafisidi chochote.

Lakini Takukuru wakijiongeza na kumchunguza kwenye eneo la miradi na manunuzi watagundua mambo yasiyofaa mengi sana.

Hapa Geita inasekana anaogopwa kwa sababu ni "mtoto wa ikulu"
 
Hapo hujathibitisha kama hakuchukua pesa yoyote ya Halmashauri ya Geita kwa ajili ya safari hiyo.Lakini inavyosemekana huyo Mkurugenzi ni fisadi sana.Inawezekana hiyo safari hajafisidi chochote.Lakini Takukuru wakijiongeza na kumchunguza kwenye eneo la miradi na manunuzi watagundua mambo yasiyofaa mengi sana.Hapa Geita inasekana anaogopwa kwa sababu ni "mtoto wa ikulu"
Nchi hii raia yoyote achilia mbali DED yaan raia yoyote akichunguzwa anaenda Jela
 
Walimualika huko Uchina kama nani?
HIyo safari ina athari gani katika utendaji wake wa kazi? Haitoleta Conflict of interest mbeleni?

Kwa kuzingatia Umeanza kusema mabaya ya huyo DC na biashara zake za madini, inaonesha Kabisa kuna shida kwenye Hiyo safari na Inahitaji Uchunguzi kweli.

Ila sio mbaya, kuleni tu hiii nchi Maana ishajiozea.
 
Niliposoma uzi wa DC kuagiza PCCB kumchunguza DED tayari nikahisi kuna shida Geita.

Na sasa naona sababu ya safari imewekwa wapi. Naamini kuna mengi yatafuata hasa kwa aliyeanzisha mvutano huu kuwa public.

Mvutano wa DC vs DED, RC vs RAS, Waziri vs Katibu Mkuu ipo sana kama viongozi hawatafanya kazi kwa kuheshimiana na upendo.

Na kama ndio mchezo aliouzoea huyo mwamba naona unaelekea ukingoni.
 
Hapo hujathibitisha kama hakuchukua pesa yoyote ya Halmashauri ya Geita kwa ajili ya safari hiyo.

Lakini inavyosemekana huyo Mkurugenzi ni fisadi sana.Inawezekana hiyo safari hajafisidi chochote.

Lakini Takukuru wakijiongeza na kumchunguza kwenye eneo la miradi na manunuzi watagundua mambo yasiyofaa mengi sana.

Hapa Geita inasekana anaogopwa kwa sababu ni "mtoto wa ikulu"
Kimsingi hizi tuhuma zimemtibulia hata akipona kuna mahali unga umemwagwa
 
Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi

Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza na media na anafanya hivyo kwa malengo binafsi wala si uzalendo.

Zahara Michuzi alipata ruhusa kwa kufuata taratibu zote na gharama za safari hiyo hazikulipwa na serikali bali waliomwalika (angalia kiambatanisho hapa chini).

View attachment 2797135
View attachment 2797136
View attachment 2797143

Sasa, PCCB mchunguzeni vema huyu DC kwani anafanya biashara ya madini na kwa sasa anakusanya hela akagombee ubunge huko Chato ila hakubaliki kwani wanamuona ni kiburi, mtata na mgomvi.

Mamlaka zitakuwa na taarifa kuwa aliwahi kumchapa makofi DED alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe!

Huyu ni mtu mmoja wa maigizo. Akiwa DC wa Ukerere enzi za Awamu ya Tano (2019) aliwahi kuibuka na madai yaliyolenga kuwachafua wenzake na kumfanya yeye aonekane mchapakazi mbele za mamlaka.

Wakati huo alidai zaidi ya shilingi milioni 881 za Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe zilikuwa zimefanyiwa ubadhirifu akiwachafua watu sita akiwemo Mganga Mfawidhi wa Wilaya wa wakati huo (Revocatus Cleophace) huku akitoa siku 14 kwa Mkurugenzi wa Wilaya (wakati huo alikuwa Ester Chaula), Mweka Hazina na Afisa Mapato wa Halmashauri hiyo kurudisha pesa hizo.

Angalia hapa:

View: https://www.youtube.com/watch?v=h5Ak9ves9dE

Kwaiyo hizo Barua za DED kwenda nje ya nchi,DC haruhusiwi kuziona?mbona naona kama DC hana taarifa!
 
Wapi popcorns zangu
 
Walimualika huko Uchina kama nani?
HIyo safari ina athari gani katika utendaji wake wa kazi? Haitoleta Conflict of interest mbeleni?

Kwa kuzingatia Umeanza kusema mabaya ya huyo DC na biashara zake za madini, inaonesha Kabisa kuna shida kwenye Hiyo safari na Inahitaji Uchunguzi kweli.

Ila sio mbaya, kuleni tu hiii nchi Maana ishajiozea.
Pia kwa nini hakumuaga bosi wake wa karibu DC?
 
Back
Top Bottom